• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

SHIRIKA LA SEA SENSE LAUNGANISHA UHUSIANO KATI YA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA PAMOJA NA BMU

Imetumwa: June 12th, 2025

Shirika lisilo la kiserikali la Sea Sense linaloshughulika na masuala ya ulinzi shirikishi wa rasilimali za bahari leo limekutana na viongozi wa serikali za mitaa na vijiji kutoka katika wilaya za Mkuranga, Kilwa na Lindi kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa BMU sambamba na kuunganisha mtandao endelevu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa hotel ya Double M uliopo manispaa ya Lindi ambapo akizungumza wakati wa ufunguzi mkuu wa idara ya kilimo, mifugo na uvuvi Manispaa ya Lindi Dr. Ninzar Idd amesema Sea Sense ni wadau muhimu katika ulinzi shirikishi wa rasilimali za bahari na kuwataka waendelee kushirikiana na serikali katika kulinda rasilimali za bahari kwa ajili ya maendeleo.

Kwa upande wake msimamizi wa programu Lydia Mgimwa amesema viongozi wa vijiji wana wajibu wa kusimamia kusimamia BMU ili kuleta uendelevu wa rasilimali za bahari na kuleta maendeleo ikiwemo kukua kwa uchumi.

Aidha akizungumza wakati wa kuwasilisha mada mratibu wa programu Abdallah Ngaugula amesema ili kuleta tija usimamizi huo wa viongozi wa serikali za mitaa na vijiji ufanyike kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu na ushirikiano.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MANISPAA YA LINDI YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 14, 2025
  • CFMA ZA KILWA, LINDI, MKURANGA NA MTWARA ZAPIGWA MSASA LINDI.

    June 14, 2025
  • SEA SENSE YAWATAKA VIONGOZI WA MITAA NA VIJIJI KUTOKA WILAYA ZA LINDI,KILWA,MKURANGA, KUTUMIA VIZURI MAARIFA WALIYOPATA.

    June 14, 2025
  • SHIRIKA LA SEA SENSE LAUNGANISHA UHUSIANO KATI YA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA PAMOJA NA BMU

    June 12, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa