• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MANISPAA YA LINDI YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Imetumwa: June 14th, 2025


Halmashauri ya Manispaa ya Lindi meajiandaa kuelekea maadhimisho ya siku ya mtoto wa Africa ambayo huadhimishwa

ifikapo june 16 kwa kila mwaka na kimkoa yatafanyika wilaya ya Liwale, na siku ya leo yameadhimishwa kiwilaya ya Lindi na Mgeni Rasmi alikuwa ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva ambae aliwakilishwa na Peter Nambunga Mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii manispaa ya Lindi.

Akisoma Risala kwa mgeni Rasmi mwenyekiti wa baraza la watoto manispaa ya Lindi Lawson Honda mwanafunzi wa shule ya msingi Stadium ameeleza lengo la kuanzisha kwa baraza hilo la watoto ni kupata wepesi wa kukutana na kujadili mambo mbali mbali yanayohusu haki na wajibu kwa mtoto.

Aidha katika kuelekea siku ya mtoto wa Africa, ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa kwa kushirikiana na ofisi za watendaji wakiwemo wadau wa maendeleo, wametoa elimu kwa watoto kwa shule za msingi na sekondari kwa mada za ukatili, masuala ya lishe, sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inayogusa haki na wajibu wa mtoto.

Ili kuhakikisha vitendo vyote vya kikatili vinaripotiwa na kutokomezwa,Haji AbdulRahmani Afisa maendeleo ya jamii dawati la msaada wa kisheria manispaa ya Lindi, amesisitiza suala la kuripoti pale ambapo mwanafunzi anapoona mwenzake anafanyiwa ukatili pindi akiwa shuleni na hata nyumbani kwani wakikaa kimya ni kusababisha athari kubwa kwenye jamii.

Katika hatua nyingine Mgeni rasmi  amewasihi watoto kuwa, kwenye haki na wajibu basi wazingatie sana haki ya kupata elimu ili waweze kutimiza ndoto zao na waweze kuwainua wazazi wao wakiwa hawana nguvu za kufanya kazi na amewata wapunguze michezo hatarishi kwa afya zao.

Ikumbukwe siku ya mtoto wa Africa ilitokana na mauaji ya halaiki dhidi ya watoto yaliyofanyika nchini Afrika ya kusini katika eneo la mji wa Soweto juni 16 1976 katika kudai haki zao muhimu ikiwemo elimu.

 

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MANISPAA YA LINDI YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 14, 2025
  • CFMA ZA KILWA, LINDI, MKURANGA NA MTWARA ZAPIGWA MSASA LINDI.

    June 14, 2025
  • SEA SENSE YAWATAKA VIONGOZI WA MITAA NA VIJIJI KUTOKA WILAYA ZA LINDI,KILWA,MKURANGA, KUTUMIA VIZURI MAARIFA WALIYOPATA.

    June 14, 2025
  • SHIRIKA LA SEA SENSE LAUNGANISHA UHUSIANO KATI YA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA PAMOJA NA BMU

    June 12, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa