• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

SEA SENSE YAWATAKA VIONGOZI WA MITAA NA VIJIJI KUTOKA WILAYA ZA LINDI,KILWA,MKURANGA, KUTUMIA VIZURI MAARIFA WALIYOPATA.

Imetumwa: June 14th, 2025

Viongozi wa mitaa na vijiji kutoka katika wilaya za Mkuranga, Kilwa na Lindi wametakiwa kutumia elimu na maarifa waliyopata kwenye kikao kazi cha siku na shirika lisilo la kiserikali la Sea Sense katika kusimamia vikundi vya BMU ili kufanya uvuvi wenye tija na endelevu.

Wito huo umetolewa na Afisa uvuvi wa Manispaa ya Lindi Essao Ngongolowo kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Manispaa ya Lindi Juma Mnwele katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Double M.

Akizungumza Ngongolowo amelishukuru shirika la Sea Sense kwa kuandaa kikao kazi hicho kilichowakutanisha viongozi wa serikali za mitaa katika maeneo yenye BMU.

Nae mratibu wa programu wa shirika la Sea Sense Abdallah Ngaugula amewahimiza viongozi hao kuwa na utaratibu wa kupata taarifa za utendaji wa BMU zilizopo katika maeneo yao sambamba na kusimamia kikamilifu dira na mipango kazi.

Kwa upande wao washiriki wa kikao hicho wameshukuru kwa maarifa na elimu waliyoipata huku wakiahidi kuyatendea kazi na kutimiza wajibu wao.

Kikao hicho cha siku mbili kilijumuisha viongozi wa serikali za mitaa zaidi ya hamsini kutoka Mkuranga, Somanga, Kilwa kusini, Manispaa ya Lindi na halmashauri ya Mtama.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MANISPAA YA LINDI YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 14, 2025
  • CFMA ZA KILWA, LINDI, MKURANGA NA MTWARA ZAPIGWA MSASA LINDI.

    June 14, 2025
  • SEA SENSE YAWATAKA VIONGOZI WA MITAA NA VIJIJI KUTOKA WILAYA ZA LINDI,KILWA,MKURANGA, KUTUMIA VIZURI MAARIFA WALIYOPATA.

    June 14, 2025
  • SHIRIKA LA SEA SENSE LAUNGANISHA UHUSIANO KATI YA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA PAMOJA NA BMU

    June 12, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa