Kituo cha Afya cha Mnazimmoja kimeanza kutoa huduma ya upasuaji ikiwa ni hatua kubwa kwa kituo cha Afya kutoa huduma ya upasuaji. Halmashauri ya Manispaa ya Lindi inatoa pongezi kwa uongozi wa kituo kwa hatua kubwa waliyofikia.Huduma zitolewazo ni Upasuaji wa Ngiri,Upasuaji wa Ngiri Maji,Upasuaji wa kujifungua,Upasuaji wa uvimbe wa mafuta,Upasuaji wa uvimbe kwenye kizazi,Huduma ya Ultrasound na upasuaji wa Bawasiri.Hii imewapa urahisi kwa wananchi wa Mnazimmoja na maeneo ya jirani kupata huduma hizo.
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa