• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MANISPAA YA LINDI YAPONGEZWA KWA KUPATA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI.

Imetumwa: June 18th, 2025

ni

Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bi. Zuwena Omari, ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kwa kupata Hati Safi ya Ukaguzi  katika ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 Pongezi hizo amezitoa  leo tarehe 18, Juni, 2025 wakati Akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack katika kikao maalumu cha Baraza la Madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Dock yard Hall Center kwa ajili ya kuchambua na kujadili taarifa ya CAG ya mwaka wa fedha 2023/2024

Kikao hicho kimehusisha Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri hiyo, Wakuu wa ldara na Vitengo (CMT), Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Wakaguzi kutoka Ofisi ya CAG Mkoa wa Lindi, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Katibu Tawala wa Wilaya pamoja na wajumbe wa Sekretarieti ya Mkoa wa Lindi pamoja na watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.

Aidha Bi, Zuwena ameipongeza Halmashauri Kwa ushirikiano mzuri baina ya madiwani na wataalam na kuchochea utendaji kazi na ufanisi uliochangia kupata hati safi unapaswa kuwa mfano kwa Halmashauri nyingine ndani ya Mkoa wa Lindi na kuwataka viongozi kuendelea kusimamia kikamilifu utekelezaji wa mapendekezo ya CAG ili kuimarisha zaidi mifumo ya kifedha na kiutawala.

Naye  Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe.Victoria Mwanziva amewapongeza Waheshimiwa madiwani Kwa kazi nzuri waliyoifanya Kwa wa Kipindi chote walichohudumu ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.

Katika hatua nyingine Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa Lindi Mhe. Frank Magali amewapongeza wakuu wa idara na vitengo pamoja na watumishi wote Kwa ushirikiano wao na Baraza la madiwani katika   kuleta maendeleo makubwa Kwa sekta zote  ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya lindi.

Sambamba na hilo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Juma Mnwele amewashukuru waheshimiwa madiwani kwa Usimamizi na utekelezaji miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Kipindi chote cha uongozi wao.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MANISPAA YA LINDI YAPONGEZWA KWA KUPATA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI.

    June 18, 2025
  • MANISPAA YA LINDI YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 14, 2025
  • CFMA ZA KILWA, LINDI, MKURANGA NA MTWARA ZAPIGWA MSASA LINDI.

    June 14, 2025
  • SEA SENSE YAWATAKA VIONGOZI WA MITAA NA VIJIJI KUTOKA WILAYA ZA LINDI,KILWA,MKURANGA, KUTUMIA VIZURI MAARIFA WALIYOPATA.

    June 14, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa