Kuna namna mbili za kupata viwanja, namna ya kwanza ni halmashauri kupima na kutangaza viwanja na ya pili ni serikali za mitaa kutangaza viwanja.
Viwanja vya halmashauri
Ili kupata viwanja vilivyotangazwa na Halmashauri itakupasa
viwanja vya serikali za mitaa
upimaji unaofanyika na serikali za mitaa ni mradi wa wananchi ambapo watendaji huchukua idadi ya watu waliochangia na kuwapa barua za utambulisho. Baada ya kupewa barua ya utambulisho utatkiwa kufika nayo Ardhi kwa ajili ya mchakato wa kupewa Hati.
Gharama za utengenezaji hati zinategemea ukubwa wa kiwanja na mahali kilipo.
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa