Kodi ya ardhi hulipiwa kila mwaka wa fedha unapoanza (julai), ambapo kwa kupitia mfumo wa land rent management system (LRMS) mteja huwapatiwa code number maalum na anatakiwa kulipia.
Kutokana na mfumo wa LRMS si lazima ukalipie benki, unaweza kulipia kodi ya ardhi kwa kutumia mfumo wa government electronic payment gateway (Ge-PG) ambao unaweza kutumia wakala wa huduma za fedha au simu yako ya mkononi.
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa