Ujenzi wa Stendi ya Malori katika Kata ya Mnazimmoja unaendelea ili kuwezesha malori yanayopima katika mizani kupata mahala pa kupumzika.
Ujenzi huu unatekelezwa kufuatia agizo la Mheshimiwa Kasim Majaliwa,Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa katika ziara yake katika Manispaa ya Lindi mapema mwezi Oktoba.
Kukamilika kwa stendi hii kutaongeza mapato ya Manispaa lakini kuimarisha uchumi wa wananchi wa Mnazi mmoja.
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255717469888
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa