• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. JUMANNE SAGINI WILAYANI LINDI

Imetumwa: February 22nd, 2023

Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Jumanne Sagini amefanya ziara mkoani Lindi na kutembelea maeneno mbalimbali katika jimbo la Mchinga kama vile kijiji cha Mchinga kutokana na maombi ya Mbunge wa jimbo la Mchinga Mhe, Salma Kikwete lakini pia mbunge wa viti maalumu mkoa wa Lindi Mhe, Tecla Ungele, ambapo alipata kuona kituo cha polisi cha mchinga na kupata taarifa fupi  ya kituo hicho cha polisi cha Mchinga moja kata ya mchinga.Kwenye taarifa yake kamishna msaidizi,jeshi la polisi Lindi ACP  Mtaki Kulijila amemuomba Mhe. naibu waziri kuwasaidia ili wapate kituo kipya cha polisi kulingana na ukosefu wa vyumba vya kuhifadhia silaha katika kituo hicho,lakini pia miundombinu ambayo haipo vizuri. ACP Mtaki pia alitoa changamoto mbalimbali kama vile kutokuwa na vyoo katika vyumba vya mahabusu,pia kituo hicho kipo jirani na barabara kuu hivyo ni hatari kwa usalama wa watu lakini pia jengo hilo halina mapokezi maalumu(charging office).

Vilevile mbunge wa jimbo la Mchinga Mhe. Salma Kikwete,alishukuru na kumpongeza naibu waziri kwa kazi nzuri anayoifanya katika kutumikia waTanzania,lakini pia mhe Salma Kikwete aliomba ujenzi wa kituo kipya cha polisi kwasababu kituo hicho cha polisi ni muhimu kwa eneo hilo kutokana na ujio wa gesi ya LNG.

Katika hatua nyingine naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Jumanne Saigi aliongea na wananchi wa Mchinga,kwa kukiri kuwa ni kweli kituo hicho hakipo katika hali nzuri kulingana na kuvuja hivyo ni rahisi kwa nyaraka zinazo hifadhiwa katika kituo hicho kuharibika.Lakini pia aliahidi kuwa kituo hicho kita karabatiwa kwa haraka wakati wanasubiri ujenzi wa kituo kipya na kikubwa kwenye eneo linalostahili.Mhe Saigi alisema  kituo kitajengwa kwaajili ya usalama wa raia na mali zao hivyo aliwaomba wana mchinga kutofanya uhalifu ili kuepuka kuwekwa katika kituo hicho.

Baada ya kuongea na wananchi wa Mchinga Mhe. Sagini na msafara wake ulipata kuelekea katika kijiji cha Kitomanga ambapo pia aliongea na wananchi wa Kijiji hicho,kwa kuwaomba wananchi wa kitomanga kufanye kazi na kuepuka uhalifu ili kuepuka kuwa wateja wa vituo vya polisi .

Mwisho naibu waziri wa mambo ya ndani alielekea katika gereza la Kingurungundwa ambapo alipata nafasi ya kuonana na wafungwa katika gereza hilo na kupata changamoto zao ambazo zimekuwa zikiwasumbua katika gereza hilo ikiwemo mazingira pamoja  na miundombinu ya gereza hilo kama vile mifumo ya maji katika gereza hilo .


Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa