• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

Waziri Mwakyembe awakaribisha wawekezaji Lindi

Imetumwa: March 27th, 2019

Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amewataka wawekezaji wakubwa na wadogo, wa ndani na wa nje kuja kwa wingi Lindi kufanya uwekezaji  kwa sababu kuna fursa nyingi ambazo hazijafanyiwa kazi.

Dk Mwakyembe aliyasema haya jana katika ukumbi wa Sea View Hotel wakati akifungua rasmi jukwaa la fursa za biashara na uwekezaji lililokuwa limeanza siku moja nyuma na kutarajiwa kumalizika tarehe 27 March.

Waziri Mwakyembe alisema Lindi ni kama jitu la miraba minne ambalo limelala, Ila sasa wakati umefika kwa jitu hilo kuamka. Akasema jukwa hili ni  sehemu nzuri kwa Mkoa wa Lindi kuionyesha Dunia fursa zilizopo kwa ajili ya kukuza uchumi pamoja na kushawishi taasisi za kifedha kutoa misaada katika kukuza uwekezaji.

Pia aliipongeza ofisi ya Mkuu wa Mkoa pamoja na Halmashauri zake kwa kushika nafasi ya kwanza kitaifa kwa kuwa na viwanda vingi vidogovidogo kuliko Mkoa mwengine wowote. Na pia alifurahishwa na bidhaa zinazotengenezwa na kuuzwa na wajasiriamali wadogo kwa kusema kuwa ni za kiwango cha hali ya juu kabisa kinachoweza shindana na bidhaa nyengine zozote.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi alisema kuna sababu nyingi za wawekezaji kuja kuwekeza Lindi. Mosi ni hali ya usalama kuwa kubwa, Lindi ni moja kati ya Mikoa ambayo matukio ya uhalifu ni machache sana. Pili, Lindi kuna eneo kubwa sana kwaajili ya masuala ya utalii kama vile kumbu kumbu za vita ya maji maji vilivyoanzia kilwa, miji ya kihistoria, mijusi mikubwa (dinosaurs) pia uwepo wa fukwe nzuri. Pia alisema fursa nyengine ziko kweye sekta ya kilimo, misitu uvuvi, madini pamoja na upatikanaji wa gesi asilia katika pwani ya Lindi.

Aidha Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu aliwahakikishia wawekezaji kuwa Serikali inafanya uwekezaji mkubwa katika masuala ya nishati katika Mikoa yote hivyo wasiwe na wasiwasi  juu ya upatikanaji wa nishati ya umeme kwa uhakika.

Jukwa hilo la fursa za biashara na uwekezaji limeandaliwa na kampuni ya tsn kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi. Lindi ni Mkoa wa tisa kufanya jukwa hilo, mikoa nane iliyotangulia kufanya jukwaa hilo ni Geita, Shinyanga, Tanga, Simiyu, Mwanza, Zanzibar, Arusha na Tabora.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa