• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

WAZIRI MKUU ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA.

Imetumwa: October 26th, 2021



Waziri Mkuu Mh.Kasim Majaliwa Majaliwa leo 26/10/2021 akiwa kwenye ziara yake ya kupita kukagua miradi ya maendeleo mkoani Lindi ameweza kushiriki ujenzi wa kituo cha afya Mvuleni,ambacho kipo katika hatua za awali za ujenzi huo ambao utagharimu kiasi cha pesa shilingi milioni 250 kwa majengo matatu jengo la wagonjwa wa nje(OPD),maabara na kichomea taka.

Mheshimiwa Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wananchi wa kata ya Mvuleni kuvutia umeme kwani gharama za kuvutia umeme ni ndogo ikilinganishwa na miaka ya nyuma ili kumfanya kila mwananchi aweze kumudu gharama hizo.

Vilevile Waziri amewaomba wananchi kuwa makini na mali zote za umma kwenye ujenzi wa kituo hiko cha afya na kama ikitokea mtu akaiba basi apelekwe polisi kwani wanakwamisha miradi ya maendeleo.Amesema“Tusiruhusu nondo,saruji kuibiwa kila mmoja awe mlinzi na mkigundua Fulani ameiba wala msimvumilie kamata peleka polisi,Mbunge wenu ameeleza adha mnayopata kwa adha ile sidhani kama kuna mtu atachukua nondo na saruji ili jengo liweze kuisha haraka”.

Aidha ametoa wito kwa maafisa elimu kuhakikisha fedha za ujenzi wa madarasa walizopata kuhakikisha wanaanza ujenzi mara moja.

                                 Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa akizindua madawati alipotembelea Chuo Kikuu Huria Lindi.


Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mheshimiwa Salma Rashidi Kikwete amemuomba Waziri Mkuu kutatua changamoto ya ujenzi wa daraja linalounganisha kijiji cha Kitomanga na Mvuleni kwani imekuwa adha ya muda mrefu kwa wananchi wa vijiji hivyo.Ambapo mhandisi wa TARURA alitolea ufafanuzi juu ya utatuzi wa changamoto hiyo.

Katika ziara hiyo Mheshimiwa Waziri Mkuu ameweza pia kutembelea chuo kikuu Huria ambapo amepokea madawati kwa ajili ya shule za msingi kutoka kwa benki ya Exim na kufanya uzinduzi wa madawati hayo.

Pia ametembelea na kufanya ukaguzi wa daraja la Mnyangara ambalo ni adha kwa wanakijiji wa Mnyangara kwani inapofika kipindi cha Masika daraja hilo hufurika maji na kupelekea kutokuwa na mawasiliano baina ya kijiji cha  Mnyangara na vijiji vingine.

Waziri Mkuu alipotembelea daraja la Mnyangara. 

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa