• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

Wasichana 99 kutoka Manispaa ya Lindi wawezeshwa kujiunga katika vyuo vya Maendeleo ya Wananchi katika mwaka 2019.

Imetumwa: May 21st, 2019

Manispaa ya Lindi yafanikiwa kupeleka wasichana 99 katika vyuo mbalimbali vya Maendeleo ya wananchi katika mwaka 2019.


Uwezeshwaji wa Wasichana hawa unatokana na mpango wa Taifa wa kutokomeza Ukatili wa Wanawake na watoto (MTAKUWWA)wenye lengo la kutokomeza ukatili wa Wanawake na Watoto hadi mwaka 2030


Baada ya kampeni mbalimbali kufanyika za kuhamasisha umuhimu wa elimu kwa Mtoto wa kike kwa kaulimbiu isemayo“ mwache akue, Asome, mimba baadaye” Mafanikio yamepatikana kwa wasichana 99 kuweza kuripoti katika vyuo hivyo.


Serikali kwa kushirikiana na wadau inafanya jitihada mbalimbali kufikia lengo la MTAKUWA,ikiwa nia pamoja na kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo ikiwemo KTO-(Karibu Tanzania Organisation) kwa kushirikina na Wizara ya Elimu inaendesha Mpango wa Elimu Haina Mwisho (EHM) kwenye Jumla ya vyuo 30 kati ya vyuo 55 vya Maendeleo ya Wananchi nchini “Focal Development College – FDCs”


Mpango huu unalenga wasichana waliokatishwa masomo kwa sababu mballimbali ikiwemo ujauzito, ukeketaji, mimba za utotoni na sababu nyinginezo,Vigezo vya kujiunga na mpango huu wa EHM ni;

    Umri usiozidi miaka 25

    Awe raia wa Tanzania

    Amekatizwa masomo kwa sababu mbalimbali.



Kati wasichana 191 waliopata nafasi katika vyuo, wasichana 162 sawa na asilimia 84% wametoka Mkoa wa Lindi, Manispaa ya Lindi ikiongeza kwa kupeleka wasichana 99 sawa na 61%.  Wasichana wengine 29 sawa na asilimia 16% wametoka mikoa mbalimbali ya Tanzania ikiwa ni pamoja na mikoa wa Pwani, Tanga, Morogoro, Mtwara, Kilimanjaro, Manyara, Dodoma na Iringa.


Mafunzo maalum yalitolewa kwa wasichana kabla ya kwenda vyuoni kwa msichana mmoja mmoja pamoja na wazazi au walezi ikifuatiwa na mafunzo siku moja kabla ya kuripoti chuoni (Mentorship day).


Mafunzo haya yana lenga aina za fani zilizo katika chuo husika, uchanguzi wa kila fani, endapo atafaulu anaweza kuajiriwa/kujiajiri vipi na atawezaje kuendelea na masomo ya astashahada na shahada.

          

              


Pia mafunzo ya kujitambua, mbinu za kusoma ili kufaulu, umuhimu wa kuwa na tabia njema, kujiepusha na makundi mabaya, kujiepusha na siasa, elimu ya ugonjwa wa Ukimwi, homa ya ini na Magonjwa mengineyo.


Kwa taarifa zaidi soma hapaTAARIFA YA WASICHANA KUJIUNGA NA VYUO VYA MAENDELEO YA WANANCHI 2019 2021.pdf

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa