• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya manispaa ya lindi
Halmashauri ya manispaa ya lindi

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya manispaa ya lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGIA KATIKA KUENDELEZA ELIMU

Imetumwa: March 6th, 2019

Wanawake wa Manispaa ya Lindi wametakiwa kuchangia katika kuhakikisha sekta ya Elimu inakua. Maneno hayo yamesemwa na Mbunge wa viti maalum Mhe. Hamida Abdallah Katika kongamano la kinamama lililofanyika katika ukumbi wa DDC tarehe 06 March ikiwa ni katika maandalizi ya kusherehekea siku ya wanamke duniani.

Akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria katika kongamano hilo Mhe. Hamida alisema “yapo mambo mbalimbali ambayo yanaweza kwenda kutufikisha katika maendeleo ya viwanda. Lakini hatuwezi kufikia huku kama hatujapata Elimu ya kutosha. Sasa Elimu ndio iwe kipaumbele chetu”

Pia alizungumzia umuhimu wa kuwa na Afya kwasababu maendeleo hayawezi kuja kama watu hawana Afya njema. Hivyo, akawataka wajiunge na bima za CHF na NHIF kwa kuwa zinapunguza matumizi makubwa ya pesa katika kupata huduma za Afya.

Aliwataka wanawake wasiogope kukopa fedha katika taasisi za kibenki ili waweze kukuza mitaji katika biashara zao. Akijitolea mfano katika kongamano hilo Mhe. Hamida alisema hata yeye alianza biashara yake ya mgahawa kwa kukopa shillingi 250,000 kutoka NMB na baada ya kufanya marejesho aliweza kukopa kiasi hadi cha shillingi million 10 na kumuwezesha kuwekeza katika biashara nyengine.

Pia Mhe. Hamida aliipongeza idara ya Maendeleo ya Jamii kwa kukumbuka kushirikisha makundi mbalimbali katika shughuli hiyo ikiwemo walemavu. Ambapo aliwapa walemavu hao kiasi cha shilingi laki moja kama msaada.

Kongamano hilo lilihudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo wanawake kutoka Manispaa, vikundi vya kina mama vya ujasiriamali, taasisi za kifedha, SHIVAWATA, Uhamiaji, pemwa, Jumuiya ya wanawake, Boresha Afya, vikundi vya ubanguaji n.k

Siku ya wanamke duniani itaadhimishwa katika viwanja vya shule ya Msingi Mitwero siku ya ijumaa tarehe 8 march.

Matangazo

  • TANGAZO LA UCHAGUZI MKUU WA RAIS WABUNGE NA MADIWANI 2025 TANZANIA BARA.. October 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA October 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MNWELE AONGOZA KIKAO CHA WATAALAM HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI KUANDAA RASIMU YA MPANGO BAJETI MWAKA 2026/2027

    February 15, 2026
  • KILIMO KWANZA MANISPAA YA LINDI: HALMASHAURI YAONGOZA UGAWAJI WA MICHE 12,000 YA MINAZI KWA WAKULIMA

    February 15, 2026
  • VIJANA WA MANISPAA YA LINDI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA UWEZESHAJI WA MAUDHUI MTANDAONI

    February 14, 2026
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI 2025/2026

    February 14, 2026
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa

  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • toto slot
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto