• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

TASAF YATOA MWONGOZO WA UTAMBUZI NA UANDIKISHAJI WA KAYA KUHUSU MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI.

Imetumwa: April 20th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Godfrey Zambi akitoa neno wakati wa ufunguzi wa Kikao kazi cha kujenga uelewa kuhusu kipindi cha pili cha awamu ya Tatu ya TASAF kilichofanyika tarehe 19/04/2021 katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa.Mkuu wa Mkoa amesisitiza wawezeshaji kuhakikisha wanafaika wamekidhi vigezo pia kuhakikisha hakuna walengwa hewa.Amewaomba madiwani kusimamia vyema utekelezaji ili kufikia lengo la mpango wa kunusuru kaya maskini katika kata zao na kujua wangapi wanastahili kufikiwa na mradi lakini pia kujua ni kiasi gani kimetumika katika kutekeleza mpango huo wa kunusuru kaya maskini.

Aidha Mratibu wa kikao kazi hicho alitoa ufafanuzi juu ya watu wanaostahili kufikiwa na mpango huo lakini pia huduma watakazopatiwa,Ambapo alisema kuwa Mpango unawezesha kaya masikini zinzoishi katika hali duni hususan watoto na akina mama wajawazito kupata lishe bora ,huduma za afya na elimu.Walengwa ndani ya kaya ni;

  • Watoto wenye chini ya umri wa miaka mitano wanaohudhuria  kliniki.
  • Wanafunzi wanaosoma shule za awali,shule za msingi na shule za sekondari.
  • Mama wajawazito
  • Wanakaya wenye ulemavu.

Kaya hizi zitanufaika kwa kupewa ruzuku za aina nne,Ruzuku ya msingi-inatolewa kwa kaya iliyomo kwenye mpango,Ruzuku ya kutimiza masharti- inatolewa kwa kaya yenye walengwa wanaotakiwa kutimiza masharti ya elimu na afya ili ziweze kupata huduma za elimu na afya;Ruzuku ya ulemavu-kwa kaya inayoishi na mtu mwenye ulemavu;Ruzuku ya watoto-kwa kaya zinazoishi na watoto lakini pia Mpango unatoa ajira kwa kaya maskini zenye watu wenye uwezo wa kufanya kazi hususan wakati wa hari.

    Katika kipindi cha pili cha awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF III) kitatekelezwa katika Halmashauri zote 184 za Tanzania Bara na Wilaya zote za Zanzibar.Katika awamu ya Tatu TASAF itawafikia kaya milioni moja na nusu zenye jumla ya watu zaidi ya milioni 7 kote nchini hii ikiwa ni nyongeza ya kaya laki tatu na nusu.Aidha katika kipindi hiki cha pili kitahakikisha kwamba huduma za jamii zinaongezwa na kuboreshwa ili kutoa huduma na kuendeleza rasilimali watoto hususan katika upatikanaji wa elimu na afya.

                                                                                                                                                                                                    

                                         Mkuu wa Mkoa akiwa katika picha ya pamoja na DAS,RAS,Mstahiki Meya na madiwani.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa