• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya manispaa ya lindi
Halmashauri ya manispaa ya lindi

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya manispaa ya lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

TANGAZENI VIVUTIO VYA UTALII LINDI- MHE. HASUNGA

Imetumwa: October 29th, 2018

Naibu Waziri wa maliasili na utalii Mheshimiwa Japhet Hasunga amewataka wanachi kushirikiana na Serikali kuhakikisha wanatangaza vivutio vya utalii vilivyopo katika Mkoa wa Lindi pamoja na Mikoa mingine ya kusini.

Naibu waziri ameyasema hayo leo tarehe 29/10/2018 katika sherehe ya kufunga tamasha la utamaduni la watu wa Lindi liliyofanyika katika kijiji cha makumbusho.

"Lindi ni Mkoa uliobarikiwa kuwa na vivutio vya utalii ambavyo havipatikani dunia nzima hivyo ni wajibu wa Serikali kuhakikisha miundombinu inajengwa ili watalii wa Tanzania na wasio watanzania waweze kufika katika maeneo hayo".

Aidha,Naibu Waziri amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuanzisha makumbusho ya Mkoa itakayohifadhi kumbukumbu muhimu za utamaduni ikiwa ni pamoja na kutoa elimu juu ya utamadumi wetu hata kwa vizazi vijavyo.

Pia amewataka wananchi wote kukemea utamaduni ambao hatunao kwa vijana haswa wasanii ambao wamekuwa wakisahau utamaduni na mila zetu na watumie mda wao kuenzi na kuonyesha utamaduni wetu.

Sambamba na hayo ,Naibu Waziri amezitaka Halmashauri kutenga bajeti ya maadhimisho ya tamasha la Utamaduni ambalo litakuwa linaadhimishwa mwezi wa tisa kila mwaka katika kila Mkoa.

Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhesimiwa Godfrey Zambi amewashukuru wadau wote waliowaunga mkono wanalindi katika kufanikisha tamasha hilo la utamaduni wa watu kutoka Lindi.


Matangazo

  • TANGAZO LA UCHAGUZI MKUU WA RAIS WABUNGE NA MADIWANI 2025 TANZANIA BARA.. October 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA October 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • WANANCHI KIKWETU WASAINI MIKATABA YA ULIPAJI FIDIA KUPISHA UJENZI WA CHUO CHA BAHARI.

    February 10, 2026
  • SHUKRANI NA BURUDANI: IDARA YA AFYA, USTAWI WA JAMII NA LISHE YAFUNGA MWAKA KWA SHEREHE NGUDU BEACH RESORT

    February 08, 2026
  • IDARA YA AFYA, USTAWI WA JAMII NA LISHE YAKAMILISHA MWAKA 2025 KWA BONANZA LA MICHEZO NGUDU BEACH RESORT

    February 07, 2026
  • MHE. VICTORIA MWANZIVA AHAMASISHA UJENZI WA MADARASA SHULE YA MSINGI MKWAJUNI, LINDI.

    February 07, 2026
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa

  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88