• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

RC-TELACK AWAPONGEZA WAKAZI WA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA.

Imetumwa: July 25th, 2024


Ikiwa Leo Julai 25, 2024 ni Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mshujaa ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack ametoa pongezi kwa wakazi wa Lindi kwa kujitokeza kwenye Madhimisho hayo ambayo kimkoa yamefanyika katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi , ikiwa ni kutekeleza maelekezo ya Serikali.

“ Lakini niwapongeze kwa kujitokeza kwa wingi Kuja kutekeleza maelekezo ya Serikali ya kufanya chochote kwenye siku hii ya Mashujaa, sisi tumeamua kufanya usafi na ninyi mmejitoa kuja kwaajili ya kutekeleza agizo hilo” RC- Telack.

Maadhimisho hayo Yamefanyika yakiambatana na shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kufanya usafi katika soko kuu la Mkoa wa Lindi pamoja na kufanya maandamano ya amani kuelekea katika Mnara wa Mashujaa ambapo imefanyika Dua na Sala kwaajili ya  Mashujaa wetu.

Aidha RC- Telack amewaomba watumishi pamoja na wakazi wote wa Mkoa wa Lindi kuendelea na utaratibu wa kufanya usafi katika maeneo yao.

“Niwaombe tuendelee kufanya usafi, usafi ni tabia, usafi Ndio maisha. Tukiacha mji wetu ukiwa mchafu na sisi hatuna maisha, mbu watazaliwa humu, nzi watazaliwa humu tuta pata magonjwa mengi ambayo tunaweza kuyaondoa, kwa kuwa wasafi tu.” 

Sambamba na hilo ametoa wito kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa barabara kuacha kutoa maji machafu ndani na kumwaga kwenye mitaro iliyopo mbele ya nyumba zao.

“Na hili niwaagize maafisa Afya simamieni hilo, ukikuta mtu anamwaga maji machafu kwenye mitaro chukueni hatua, najua sheria zipo, simamieni usafi hatuna sababu ya kuona uchafu unazagaa kwenye mji huu wakati maafisa Afya wapo”.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa