• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

RC-TELACK ATOA WITO KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA JESHI LA UHAMIAJI MKOA WA LINDI KUHAKIKISHA HUDUMA WANAZOZITOA ZINA WAFIKIA WANANCHI KWA WAKATI.

Imetumwa: April 26th, 2023

Wito huo umetolewa na Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack kwenye maadhimisho ya  miaka 59 ya  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambayo yamefanyika tarehe 26 Mwezi wa nne kwenye viwanja vya jengo la uhamiaji mkoa wa Lindi linalopatikana Manispaa ya Lindi kata ya Msinjahili.

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa ni mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack,lakini pia maadhimisho hayo yalipata kuhudhuriwa na mstahiki meya wa Manispaa ya Lindi Mhe. Frank Magali lakini pia mkurugenzi mtendaji wa Manispaa ya Lindi Juma Mnwele naye pia alikuwepo kwenye maadhimisho hayo  lakini pia viongozi na watumishi mbalimbali kutoka ndani na nje ya Manispaa ya Lindi.Maadhimisho hayo  yalikwenda sambamba na ufunguzi wa jengo la uhamiaji mkoa wa Lindi lenye thamani ya shilingi bilioni 2.2.

Sambamba na hilo kwenye maadhimisho hayo  Mhe .Telack ameomba wakazi wa Manispaa ya  Lindi kutunza mila na desturi za taifa letu ili wageni wanao kuja waweze kujifunza mazuri katika mkoa wetu, lakini pia kusimamia watoto wapate elimu ili waweze kuja kunufaika na miradi mikubwa ambayo inakwenda kujengwa katika mkoa wetu.

Aidha Mhe.Telack amewaomba wakazi wa Manispaa ya Lindi kutunza ardhi na kuweka juhudi katika kazi ili wasiwe wageni au vibarua  katika uchumi unao kuja katika mkoa wetu.Lakini pia Mhe. Telack  alitumia  nafasi hiyo kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu fedha za ujenzi wa jengo hilo la uhamiaji mkoa wa Lindi ambalo limegharimu shilingi bilioni 2.2, lakini pia amewapongeza viongozi wa wizara ya mambo ya ndani chini ya waziri wao Mhe.Hamadi Masauni, katibu mkuu na maafisa wote kwa kusimamia na kutekeleza mradi wa ujenzi wa jengo hilo.Lakini pia amempongeza kamishna jenerali wa uhamiaji Anna Makangala kwa kusimamia na kukamilisha ujenzi wa jengo hilo akishilikiana na viongozi waandamizi na viongozi wote katika ofisi yake.


Vilevile Mstahiki meya wa Manispaa ya Lindi Mhe. Frank Magali  alitumia nafasi hiyo kuwahamasisha watumishi mbalimbali  kuja mkoa wa Lindi hususani ni Manispaa ya Lindi  kufanya uwekezaji kwasababu mkoa huu una vitu vingi sana vinavyofaa kwaajili ya uwekezaji ikiwemo ardhi ya kutosha pamoja na madini mbalimbali .

 Mwisho Mhe. Telack alitumia maadhimisho hayo  kugawa tuzo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ambao wameshinda katika uandishi wa insha.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa