• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA RASMI MAONESHO YA WAKULIMA, WAVUVI NA WAFUGAJI KANDA YA KUSINI.

Imetumwa: August 1st, 2023

Naibu waziri wizara ya mambo ya ndani ya nchi mhe. Jumanne Sagini (Mb) , afungua ramsmi maonesho ya wakulima na wafugaji ( Nanenane) kanda ya kusini, akimuwakilisha waziri wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi mhe.  Mhandisi hamad Masauni( Mb)

Ufungunzi  huo kwa kanda ya kusini umefanyika Agost ,1, 2023 katika viwanja vya Ngongo   Manisipal ya lindi, yenye kauli mbiu isemayo vijana na wanawake ni msingi imara wa mifumo   endelevu ya chakula .

Aidha mhe. Sagini amewapongeza wakuu wa mikoa na wilaya  wa lindi na mtwara kwa kusimamia hali ya ulinzi na  usalama katika mikoa hiyo.

Sambamba na hilo,  mhe. Sagini amezungumzia suala la migogoro kati ya wakulima na wafugaji, na pia ametumia fursa hilo kuwasihi wakulima na wafugaji kujiepusha na migogoro hiyo pamoja na hilo Sagini ameliomba jeshi la polisi kuchukua hatua kwa wote wanaojihusisha na migogoro hiyo ya  wakulima na wafugaji.

Lakini pia ,amewapongeza wanakamati , watumishi , wadau na wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara kwa maandalizi mazuri ya sherehe  hiyo . Pia amesisitiza maoneshe hayo yatumike katika kujenga hamasa ya kuongeza uzalishaji katika kilimo, ufugaji ,na uvuvi 

Katika hatua nyingine Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amewaomba wakulima wa mbaazi kuendelea kuzalisha zao hilo kwani mwaka huu linakwenda kuingia kwenye stakabadhi ghalani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Lakini pia Mhe. Telack alitumia nafasi hiyo kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa msukumo mkubwa katika kukuza sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi Kupitia wizara za kisekta lakini pia alimshukuru Mhe. Dkt . Samia Suluhu Hassan kwa kutoa ruzuku bure kwenye zao la korosho lakini pia kwa kutoa pikipiki 558 ambapo Mtwara pikipiki 267 na Lindi 291 , ili waweze kurahisisha upelekaji wa huduma kwa wakulima wa mkoa wa Lindi na Mtwara.

Sambamba na hilo Mhe. Telack alitumia nafasi hiyo kumkaribisha mgeni rasmi, wananchi wote wa ndani ya mkoa wa Lindi pamoja na nje ya mkoa wa Lindi kushiriki Kwenye maonesho ya fursa za madini uwekezaji na biashara ndani ya mkoa wa Lindi kuanzia tarehe 21 mpaka 26 mwezi huu, ili waweze kufika na kujionea madini mbalimbali yanayopatikana ndani ya mkoa wa Lindi. Maonesho hayo yatafanyika katika wilaya ya Ruangwa mkoa wa Lindi.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa