• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

NAIBU WAZIRI OR-MUUB MHE. DEOGRATIUS NDEJEMBI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MANISPAA YA LINDI.

Imetumwa: October 10th, 2022

Naibu waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR-MUUB) Mhe. Deogratius John Ndejembi amefanya mkutano na watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi na kusikiliza kero zao mbalimbali leo tarehe 10.10.2022 katika ukumbi wa Mt. Andrea Kaggwa.

Katika salamu na kumkaribisha Mhe. Ndejembi, Mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga amemuahidi na kumtoa wasiwasi Mhe. Naibu waziri kwamba fedha zote zilizoletwa katika wilaya ya Lindi kwa lengo la kutekeleza miradi mbalimbali zitatumiwa kama ilivyoelekezwa na miradi hiyo itatekelezwa kwa wakati.Pia Mhe. Ndemanga alimueleza Mhe. Naibu waziri mafanikio mbalimbali yaliyofikiwa na walengwa chini ya Mpango Taifa wa kunusuru kaya maskini (TASAF) ikiwemo kutekeleza miradi mbalimbali na kukuza vipato vyao, kuunda vikundi vidogo vya kijamii vya uwekezaji, na hayo yote yatawasaidia walengwa pindi wanapohitimu (yaani kutoka kwenye mpango).

Mheshimiwa naibu waziri alianza kuwasikiliza watumishi wa Manispaa ya Lindi wakitoa kero mbalimbali kuhusu masuala ya kiutumishi na kuzitolea ufafanuzi.

Katika kutoa ufafanuzi juu ya kero mbalimbali zinazowakabili Watumishi wa Manispaa ya Lindi, Naibu waziri amesisitiza kwamba hakuna kipindi kizuri kuwa Mtumishi wa Umma kama kipindi hiki cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwani ameboresha maslahi ya watumishi wa Umma.Mfano kwa Manispaa ya Lindi watumishi zaidi ya 800 wameweza kupandishwa madaraja (Promotion) na Watumishi zaidi ya 300 wamelipwa Areas za mishahara katika kipindi hiki kifupi cha uongozi wa Rais Samia.

Katika hotuba yake fupi Mheshimiwa naibu waziri OR-MUUB, amewataka watumishi wa Lindi kujituma, kufanya kazi kwa weledi na kwa kufuata Sheria, Taratibu na Kanuni zilizowekwa.

Aidha Mheshimiwa naibu waziri amewasisitiza watumishi wa Umma wanaopangiwa kufanya kazi katika mkoa wa Lindi kutokuhama na kuanza kuwekeza kwani Lindi ni sehemu nzuri kwa uwekezaji.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa