• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MWENGE WA UHURU KUFIKIA MIRADI TISA (9) YENYE THAMANI YA TSH. BIL 4.8 MANISPAA YA LINDI.

Imetumwa: April 13th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga amepokea mwenge wa uhuru Aprili 13 kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Ruangwa  Mhe. Hassan Ngoma mara baada ya kumaliza mbio zake wilayani humo.

 Baada ya kupokelewa mwenge wa uhuru  mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga ulizunguka katika miradi tisa  ndani ya Manispaa ya Lindi yenye thamani ya Tsh. Bil 4.8 lakini pia ulikimbizwa kwa umbali wa kilometa 153.8 ambapo miradi 6 imezinduliwa , miradi 2 imewekewa jiwe la msingi na mradi mmoja umetembelewa.

 Miradi hiyo tisa ni pamoja na  ujenzi wa daraja la Milola, mradi wa kudhibiti uharibifu wa nisitu kwa kutumia teknolojia kinyope, mradi wa kuweka alama za mipaka (beacons) katika vyanzo vya maji , mito, na mabwawa katika Manispaa ya Lindi.klabu ya wanafunzi  ya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia , mimba za utotoni ,na ukatili wa kijinsia,  mradi wa lishe eneo la Mangroove kata ya msinjahili,radi wa ujenzi wa kituo cha taarifa za malikale,utalii na makumbusho,mradi wa 10% kwa wanawake,vijana na watu wenye ulemavu,vile vile mwenge wa uhuru ulipata kutembelea katika eneo la dainosaria uwanja wa fisi,baada ya hapo mwenge wa uhuru ulipata kuwka jiwe la msingi katika zahanati ya banduka,mwisho mwenge ulifika katika mradi wa maji mitwero,mkwaya na kitunda.

Baada ya kuzungukia miradi hiyo tisa mwenge wa uhuru ulifika kwenye uwanja wa ilulu ambapo ndiyo ilikuwa eneo la mkesha wa mwenge wa uhuru kwa Manispaa ya Lindi mwaka huu. Viongozi pamoja na watumishi mbalimbali walihudhuria kwenye mkesha huo akiwemo mkurugunzi wa Manispaa ya Lindi Mhe. Juma Mnwele, licha ya kuhudhuriwa na viongozi pamoja na watumishi mbalimbali pia wananchi wa Manispaa ya Lindi walifika katika viwanja hivyo vya Ilulu na kukesha pamoa na mwenge wa uhuru.

Sambamba na mkesha huo shughuli mbalimbali ziliendelea katika uwanja wa ilulu ikiwemo biashara pamoja na burudani kutoka katika vikundi mbalimbali vya sanaa ndani ya Manispaa ya Lindi yote ni kuhakikisha mwenge wa uhuru unakesha katika viwanja hivyo vya Ilulu.


Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa