• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MRADI WA BOOST KUJA KUIMARISHA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI WA ELIMU YA MSINGI NA AWALi

Imetumwa: December 23rd, 2022

Mradi wa Boost ni moja ya mradi mbao una simamiwa na wizara ya elimu,mradi huo unatekelezwa nchi nzima lakini kwa upande wa kanda ya kusini mafunzo hayo yamefanyika Mtwara kwa siku mbili ambazo ni Disemba 22 na 23 .Mafunzo hayo yalihusisha afua nane ambazo washiriki walijifunza kwa lengo la Kwenda kufanyia kazi katika halmashauri zao.

Afua ambazo washiriki hao kutoka kila halmashauri walijifunza ni kama vile,kupewa ujuzi katika ujenzi wa miundombinu,mpango wa shule salama,kuongeza uandikishaji kwa wanafunzi wa elimu ya awali,upatikanaji wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia,mafunzo endelevu kwa walimu,uimarishaji wa matumizi ya TEHAMA,kuimarisha mipango na bajeti katika maendeleo Pamoja na kuimarisha uongozi na kupambana.Kupitia afua hizi nane washiriki wataenda kuzifanyia kazi ili kufanikisha na kuhakikisha mradi huo wa Boost unafanikiwa.

Sambamba na hilo Afisa elimu wa Mkoa wa Mtwara ndg, Kiduma Mageni aliwaomba washiriki katika mafunzo hayo ya mradi wa Boost Kwenda kutekeleza na kufanyia kazi yale yote ambayo wamejifunza na wameyapata katika mafunzo hayo ndani ya siku mbili ambazo walikuepo mkoani Mtwara.

Katika hatua nyingine  mgeni rasmi kwenye mafunzo hayo  ambae ni Mkurugenzi wa elimu TAMISEMI,Mwalimu Vincent Kayombo,aliongea na washiriki kwa kuwapongeza washiriki hao kwa kushiriki katika mafunzo hayo.

Kayombo alitoa pongezi kwa Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa anazo zifanya katika kutuletea maendeleo katika nchi yetu na uwekezaji mkubwa anao ufanya kwenye sekta ya elimu kwa kutoa fedha kwaajili ya ujenzi wa madarasa nchi nzima.Madarasa ambayo yatajengwa nchi nzima kwaajili ya kuchukua wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2023,Lakini pia alimpongeza Dkt Samia kwa kutoa fedha kwaajili ya ujenzi wa mabweni katika shule za wanafunzi wenye uhitaji maalum.

Vilevile Kayombo aliwasisitiza washiriki katika mafunzo hayo kuhakikisha wanafanya kazi ili kufanikisha mradi huu kwa wakati na kutekeleza walicho jifunza  katika mafunzo hayo kupitia afua mbalimbali ambazo walipitishwa na wawezeshaji katika mradi huo,ili kupata maendeleo na kukamilisha malengo ya mradi huo.

Mwisho Kayombo aliwahasa washiriki hao kuhakikisha wanajitahidi kuhamasisha wazazi na walezi kuhusiana suala zima la kuhakikisha Watoto wanapata nafasi ya kuandikishwa darasa la awali na darasa la kwanza ,lakini pia kidato cha kwanza ili kusaidia kutimiza ndoto zao, sambamba na kukamilisha mradi wa Boost.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa