- Mwanzo
- Kuhusu sisi
-
Utawala
- Muundo wa Taasisi
-
Idara
- Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
- Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
- Idara ya Elimu ya Sekondari
- Idara ya Mipango na Uratibu
- Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
- Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
- Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
- Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
- Idara ya Maendeleo ya jamii
-
Vitengo
- Kitengo cha Huduma za Kisheria
- Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
- Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
- Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
- Kitengo cha Ununuzi
- Kitengo cha Fedha na Uhasibu
- Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
- Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
- Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
- Uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
- E-Learning

Sambamba na hilo Mhe. Ndemanga amewataka wanajumuiya hao kutoa hamasa kwa wananchi katika maeneo ya kuvuta huduma za maji pamoja na makazi yao ili iweze kuwarahisishia katika kutumia njia mpya za uboreshaji wa huduma wanazozitoa
Katika hatua nyingine kaimu meneja wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA ) Wilaya ya Lindi, Mhandisi Atanas Lume , ameeleza kuwa katika bajeti ya miradi ya maendeleo ya mwaka wa fedha 2023/2024 RUWASA wilaya ya Lindi imetenga zaidi ya bilioni 3.659 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji ambapo miradi mipya sita imetengewa bilioni 2.10.



