• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

WADAU WA UCHAGUZI MKOA WA LINDI WAPIGWA MSASA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

Imetumwa: January 16th, 2025

Wadau wa Uchaguzi Mkoa wa Lindi wapigwa msasa kuhusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kupitia kwa  wataalam kutoka Tumehuru ya Taifa ya Uchaguzi.

Hayo yamefanyika Leo Januari 16, 2025, katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi yakihusisha wadau mbalimbali ndani ya Mkoa wa Huo .

Akongea na wadau hao  wakati akitoa hotuba ya ufunguzi, kwenye kikao cha Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi na wadau wa Uchaguzi Mkoa wa Lindi, Makamu mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji (Mst) Mbarouk S. Mbarouk, amesema zoezi hilo kwa Mkoa wa Lindi  litafanyika kwa muda wa siku saba kuanza tarehe 28 Januari mpaka tarehe 03 februari 2025 ambapo vituo vitakua vinafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 12:00 Jioni.

Aidha zoezi hilo la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura kwa mwaka huu  kama ilivyokuwa uboreshaji wa mwaka 2015/2020 linahusisha Matumizi ya teknolojia ya Bayometriki Voters Registration (BVR), ambayo hutumika katika kumtambua mtu na kumtofautisha na mwengine kwakuwa unahusisha uchukuaji wa alama za vidole vya mikono, picha pamoja na saini na kuhifadhiwa katika kanzi data ya wapiga kura.

Sambamba na hilo ametoa rai kwa wadau hao kupitia majukwaa mbalimbali ya kisiasa , kijamii, kiutamuduni,na kiimani, kuwahimiza Wananchi wa Mkoa  wa Lindi kujitokeza kwa Wingi katika kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye daftari ka kudumu la wapiga kura.

 Tume inatarajia kuandikisha wapiga kura wapya 121,187 kwa Mkoa wa Lindi .Hii ikiwa ni ongezeko la asilimia 18.7 ya wapiga kura 645,644 waliopo kwenye Dafatari la kudumu la Wapiga kura, ambapo tume inatarajia baada ya uandikishaji huo Mkoa wa Lindi utakuwa na wapiga kura 768,641.

Kauli mbiu ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura  kwa mwaka 2024/25 inasema :

“Kujiandikisha kuwa mpiga kura ni msingi wa Uchaguzi Bora”

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa