• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MIKAKATI MADHUBUTI YA KUDHIBITI MLIPUKO WA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA KATIKA MANISPAA YA LINDI

Imetumwa: March 20th, 2020

Kamati ya afya ya msingi ya manispaa imekaa siku ya leo tarehe 20/03/2020 kujadili mikakati ya kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa CORONA. Kamati imejumuisha baadhi ya viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya pamoja na wataalamu kutoka sekta mbali mbali za halmashauri ya manispaa ya lindi.

Mkuu wa wilaya Mh Shaibu Ndemanga(mwenyekiti wa kamati) pamoja na wajumbe wamekubaliana mikakati ifuatayo:

  • Sekta, Mamlaka na taasisi mbali mbali zishirikiane kwenye hatua za kupambana na kuzuia maambukizi ya ugonjwa huu. Vyombo vya usalama vihusishwe kwa ukaribu katika hatua za kuzuia mikusanyiko ya watu isiyokuwa ya msingi ikiwemo kumbi za starehe, ufukweni, uwanja wa michezo, vigezo vya usafirishaji abiria.
  • Kutoa elimu ya hatua za kupambana na maambukizi kwenye maeneo ya mikusanyiko kama sehemu za ibada, masokoni, bandarini na kwenye kivuko.
  • Kuweka ulinzi kwenye bandari bubu  zote.
  • Kutoa elimu kwa njia za redio  ili kuzuia mkusanyiko.
  • Utaratibu wa utoaji taarifa wa mtu anashukiwa kuwa na maambukizi uandliwe na kupelekwa kwa jamii.
  • Vyombo vya usalama kushirikiana na ofisi ya mganga mkuu kufanya ukaguzi wa utekelezaji wa maelekezo na maagizo.
  • Sekta mbalimbali ikiwemo wafanyabiashara kushirikishwa kwenye upatikanaji wa vifaa kinga ili jamii iweze kupata kwa urahisi na kuzuia kupandiswa kwa gharama zake.

Mh Mkuu wa Wilaya ametoa rai kwa wananchi wote wa Halmashauri ya manispaa ya Lindi kuchukua hatua za tahadhari kujikinga na ugonjwa huu. Wazazi na walezi kukaa na Watoto majumbani na kutofanya safari yoyote isiyokuwa ya msingi.

Mkuu wa wilaya ya Lindi ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya afya ya msingi ya Manispaa Mh. Shaibu Ndemanga(katikati) akitoa wito kwa wazazi kuweka uangalizi wa kutosha kwa watoto wao na kutowaruhusu kuzurura.




Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa