• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MANISPAA YA LINDI YAPONGEZWA NA KIONGOZI MBIO ZA MWENGE KITAIFA.

Imetumwa: April 27th, 2022

Tarehe 26/04/2022 Halmashauri ya Manispaa ya Lindi imepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Mtama ambapo miradi tisa yenye thamani  ya shilingi bilioni 5.38 imefikiwa.Miradi hiyo ni Mradi wa kilimo hai,uzinduzi wa chanjo ili kutokomeza homa ya mapafu ya mbuzi,kuweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha afya Ng’apa,kuweka jiwe la msingi ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Angaza,kuzindua kituo cha mafuta cha LIVE FUEL&SERVICE STATION,kutembelea mradi wa maji Mitwero/mkwaya/kitunda,Kutoa hati kwa wananchi waliomilikishwa kupitia zoezi la urasimishaji makazi,kushiriki zoezi la kuweka anwani za makazi na kukabidhi vitendea kazi kwa vikundi vya wanawake,vijana na wenye ulemavu.Miradi yote imekubaliwa.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Ndg.Sahili Nyazabara Geraruma akitoa neno alipotembelea mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Angaza.

Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2022 Ndugu Sahili Nyanzabara Geraruma ameipongeza Manispaa ya Lindi kwa kazi kubwa wanayoifanya kwenye utekelezaji na usimamiaji wa miradi.Pia amewashauri viongozi wa Mkoa,Wilaya na Halmashauri kuzidi kuongeza nguvu kwenye usimamizi wa miradi ili iweze kujengwa kwenye ubora unaotakiwa na kuhakikisha nyaraka muhimu zinakuwepo muda wote pale zitakapohitajika kwani serikali inafanya kazi kwenye karatasi.

Aidha amewakumbusha wananchi kujitokeza kuhesabiwa siku ya sensa inayotarajiwa kufanyika tarehe 23/08/2022 ili kuwezesha serikali kupata idadi sahihi ya watu.Bwana Geraruma amesema“Kama mkuu wa kaya atatoka siku ya kuhesabiwa (sensa)basi hakikisha mtu mzima mmoja anabaki ili kuweza kutoa taarifa sahihi pale karani wa sensa atakapotembelea kaya hiyo”.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge akiongea na wananchi wa Wilaya ya Lindi mara baada ya kupokea Mwenge Kutoka Wilaya ya Mtama.

Vilevile,amewatoa wasiwasi wananchi juu ya matumizi ya taarifa binafsi zitakazochukiwa siku ya sensa kuwa taarifa hizo ni kwa ajili tu ya sensa na si vinginevyo na ikitokea mtu amezitumia tofauti na malengo basi hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.

Mwenge wa Uhuru umekabidhiwa leo asubuhi kwa Wilaya ya Ruangwa.

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Ndugu Shaibu Ndemanga akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa