• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MJUSI MKUBWA DUNIANI ALIYEVUMBULIWA KATIKA KIJIJI CHA TENDAGURU-MANISPAA YA LINDI

Imetumwa: April 13th, 2021

Mjusi huyo alivumbuliwa katika eneo la Tendaguru  katika wilaya ya Lindi Kata ya Mipingo,katika kijiji cha Mnyangara,mkoani Lindi miaka 100 iliyopita.Mjusi huyo ni kuvutio adimu katika makumbusho ya Berlin nchini Ujerumani ambaye ana uzito wa tani 50.Mjusi huyo kwa jina la kitaalam anaitwa DINOSOURS ambapo masalia ya mjusi huyo toka katika eneo la Tendaguru,yalikusanywa na kupelekwa Ujerumani ambako watalaam waliyaunda na kisha kuyaweka kwenye Makumbusho ya Berlin yaliojengwa tangu mwaka 1889.

Tendaguru ndilo jina ambalo linatumiwa na watafiti na watalaam katika machapisho yaliopo kwenye makumbusho hayo ambapo wanalitumia jina hilo kutambulisha mijusi wote wakubwa sio wa Tanzania pekee bali pia wanaotoka katika nchi nyingine.Mjusi huyo anakadiriwa kuwa na umri wa miaka milioni 150,ana urefu wa meta 13.7 kwenda juu,anakadiriwa kuwa na moyo wenye uzito wa kilo 400 na chakula cha mjusi huyo kilikuwa ni mimea.

Mwanasayansi na Mtafiti wa Mambo ya kale Dk.Daniela Schliart anasema  mjusi huyo aligundulika kati ya mwaka 1907 na 1909 ambapo watafiti katika eneo la Tendaguru walikuwa  wanatafiti madini ndipo walikutana na masalio hayo kisha kukusanya masalia na kuyasafirisha hadi nchini Ujerumani.Wanasayansi hayo na watafiti walibaini kuwepo aina 13 tofauti za mijusi ambao baadhi yao waliishi kwa kula mimea na wengine nyama.

Mtafiti Dk.Daniella anabainisha namna walivyopata umri wa mjusi huyo ni kwa kuangalia makundi ya madini yalivyopangiliwa na kwa kutumia program za kompyuta.Masalio ya mjusi huyo yanatunzwa kwa kutumia kemikali maalum za kumlinda asijekusambaratika,na kwamba Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa kimataifa na Sayansi Dk.Christopher Hauser anasisitiza kuwa Tanzania inahitaji wataalam wa mambo kale ambao wamepata mafunzo maalum ya kuhudumia masalia ya mijusi wa kale.

“Tanzania itayarishe wataalam wa kutunza  masalia ya mujusi kwa sababu imekaa miaka mingi hivyo inaweza kuharibika,utafiti unaonesha kuwa bado Tanzania kuna masalio ya mijusi katika eneo la Tendaguru na maeneo mengine’’,anasisitiza Dk.Hauser.

Licha ya kuhifadhiwa masalia ya mjusi huyo toka Tanzania,katika Makumbusho ya Ujerumani kuna masalia ya viumbe wengine ambao ni nyoka,ndege,simba,chui na mijusi wakubwa kutoka nchi mbalimbali.Makumbusho ya nchini Ujerumani yapo chini ya  Wizara ya Elimu na Utafiti ambayo huingiza wastani wa watu 500,000 kwa mwaka ambapo kiingilio chake ni  euro nane kwa kila mtu anayetembelea makumbusho hayo.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa