• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MAADHIMISHO YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA YAADHIMISHWA KILANGALA

Imetumwa: December 10th, 2021

Maadhimisho ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi yamefanyika kijiji cha Kilangala leo tarehe 10/12/2021 ambapo mgeni rasmi ni Afisa Tarafa wa Mchinga Ndugu Hadija Mringo akimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Lindi Ndugu Shaibu Ndemanga.Kauli mbiu ya mwaka huu ni “EWE MWANANCHI KOMESHA UKATILI WA KIJINSIA SASA”.

Mgeni rasmi amewaasa viongozi na watendaji wa BAKAID kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu wanapotekeleza shughuli za mradi husika.Amesisitiza sana hilo ili jamii iwe salama na iweze kuwajibika kwa vitendo vyake.

Aidha,ameishukuru Halmashauri ya Manispaa pamoja na wadau wa BAKAID kwa kuelekeza miradi katika maeneo tofauti na ni maeneo muhimu katika wilaya yetu,Lakini pia amewaomba BAKAID kupanua eneo la utekelezaji hususani  Halmashauri ya Mtama.

                                                                Mgeni rasmi akihutubia.

Mkurugenzi wa  BAKAID ameelezea mafanikio waliyoyapata kupitia programu wanazoziendesha kupitia BAKAID ni pamoja na kuanzisha vikundi mbalimbali vya ujasiriamali vikundi 6 vyenye watu 128 , kuanzisha vikundi [VICOBA] 20 na wanachama 260  na kutoa mitaji, kutoa elimu kwa viongozi wa dini wapatao 220 juu ya ukatili wa kijinsia na afya ya uzazi, vikundi 5 vya kilimo cha mbogamboga vyenye wanachama 340, kutoa machapisho mbalimbali yahusuyo kupinga ukatili wa kijinsia na afya ya uzazi yapatayo 4200  yamesambazwa kwa jamii n.k.

Kupitia risala iliyosomwa Afisa Ustawi wa jamii Bwana Fanuel Mchau ameweza kutoa changamoto kwa mgeni rasmi ambapo changamoto hizo ni pamoja na uhaba wa vitendea kazi ikiwemo usafiri ili kuweza kutembelea maeneo ya pembeni ya mji, wananchi kumaliza kifamilia matatizo yanayotokana na ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto, baadhi ya wananchi kutokubali kutoa ushahidi kesi inapofikishwa mahakamani na wanaume kutokuripoti matukio ya ukatili wanayofanyiwa kwa kuona aibu.                                                                                       Aidha, ametoa maoni/mapendekezo kwa kupatiwa vitendea kazi, mapambano ya kupambana na ukatili kupewa kipaumbele kwenye bajeti ili kurahisisha kazi ya kuzungukia kwenye jamii pia wadau wajitokeze wengi Zaidi ili kuongeza nguvu ya kupambana na changamoto ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.

Diwani wa kata ya Kilangala Mhe.Ally Salum Nawete amewaomba walimu kutoa elimu kwa wanafunzi juu ya ukatili wa kijinsia kwa namna gani ilivyo na kama wakifanyiwa ama kuona matendo ya ukatili kujua waripoti kwa nani.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa