• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MAADHIMISHO YA JUMA LA ELIMU MKOA WA LINDI

Imetumwa: May 31st, 2018

Maadhimisho ya juma la elimu kwa Mkoa wa Lindi yamefanyika hapo jana katika ukumbi wa kagwa uliopo Manispaa ya Lindi na kuhudhuriwa na wadau mbali mbali wa elimu wakiwemo walimu, wanafunzi maafisa wa elimu pamoja na mashirika binafsi.

Mgeni rasmi katika sherehe hiyo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga ambaye alikua akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey W. Zambi.

Akizungumza katika sherehe hizo mkuu wa Wilaya ya Lindi alitoa pongezi kwa mkoa wa Lindi kwa kuwa elimu imekua ikiimiarika mwaka hadi mwaka kwa ngazi zote za elimu kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari.

“Haitofurahisha na wala haipendezi kama Mkoa wa Lindi ukishika namba za mwisho kila mwaka” alisema Mkuu wa Wilaya “namna pekee ya kuwasaidia watu wa Lindi ni kwa kuwapa elimu”

Maadhimisho hayo yaliambatana na utoaji wa zawadi kwa waliofanya vizuri katika mitihani ya Taifa ya darasa la nne na la saba kwa upande wa elimu ya msingi, na kidato cha pili na cha nne katika elimu ya sekondari. Zawadi hizo zilitolewa kwa makundi ya wanafunzi, shule na halmashauri.

Halmashauri ya Manispaa ya Lindi iliweza kuibuka kidedea kwa kushika nafasi ya kwanza kwa ufaulu wa mitihani ya kumaliza darasa la saba na mtihani wa kidato cha pili.

Utoaji wa zawadi hizo ulikuwa na lengo la kupeana hamasa na kuwa ni chachu kwa wengine kufanya vizuri, pia ikiwa ni katika kutekeleza azimio la mkutano mkuu wa wadau wa elimu uliofanyika tarehe 6 mwezi wa tatu, la kutoa motisha kwa wadau wa elimu.

Aidha, Mhe. Shaibu Ndemanga alitoa agizo kuwa hadi kufika tarehe 20 mwezi wa sita Halmashauri zote ziwe zimetekeleza maazimio ya mkutano wa wadau wa elimu ambao ulifanyika. Pia akasema kutakuwa na mkutano mwengine wa wadau wa elimu ambao utajadili kwa kina suala la elimu mkoani Lindi na kufanya tathmini ya maendeleo ya utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa awali.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa