• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

KIKUNDI CHA VIJANA CHA TUKWAMUE CHA KABIDHIWA PIKI PIKI YENYE THAMANI YA SHILINGI 3,130,000.00.

Imetumwa: February 19th, 2025

Kikundi cha vijana Cha Tukwamue kilichopo katika kata ya ya Chikonji Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Cha KABIDHIWA piki piki yenye thamani ya shilingi 3,600,000.00 kupitia Mkopo wa 10% Kwa Vijana, Wanawake na watu wenye ulemavu.

Akikabidhi piki piki Kwa kikundi hicho Diwani wa kata hiyo Mhe. Fatuma Ally amewaomba wanakikundi hao kutunza kifaa hicho ambacho kinakwenda kutumika katika kufanyis biashara ya Boda Boda , ili kiweze kurudisha pesa waliyopatiwa.

Nae mkuu  idara ya maendeleo ya Jamii. Halmashauri Manispaa ya Lindi Peter Nambunga ameipongeza serikali Kwa kuendelea kutoa mikopo hii ya 10% kwa Vijana , Wanawake na watu wenye ulemavu, Kwani Kwa kiasi kikubwa huwasaidia Vijana na kuwatoa kwenye dimbwi la umasikini.

Akisoma taarifa ya idara ya maendeleo ya Jamii Afisa maendeleo ya Jamii kata ya Chikonji Dickson  Peter amesema mikakati mbalimbali imefanywa na idara hiyo katika kata hiyo ikiwa ni pamoja na Kuendelea kutoa elimu ya uundwaji wa vikundi na masuala ya mikopo, matumizi sahihi ya fedha na marejesho kwa jamii ili kujiweka tayari pale fursa zinapotokea, Kuendelea kutoa elimu ya masuala mtambuka kwa jamii, pamoja na Kuendelea kufanya ufuatiliaji wa marejesho kwa vikundi vilivyokopeshwa, ikiwa ni pamoja na kuiita  vikundi katika  kikao cha WDC na Ofisi ya Maendeleo ya jamii.

Ikumbukwe kuwa kata ya Chikonji imepata Mkopo wa asilimia 10% Kwa vikundi vitatu vya Wanawake, kikundi kimoja Cha vijana pamoja na mlemavu mmoja.

Vikundi hivyo ni Twaweza group (Wanawake)     Mkopo wa shilingi 2,500,000.00

Nguvu kazi    (Wanawake)  Mkopo wa shilingi 2,000,000.00

Tunaweza  (Wanawake)   Mkopo wa shilingi 3,000,000.00, Vikundi vingine ni pamoja naTukwamue  (Vijana)   Mkopo wa shilingi 3,600,000.00 ( pikipiki) pamoja na Selemani Yusufu Waziri (Mlemavu) Mkopo wa shilingi 800,000.00.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa