• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

KIKAO CHA WADAU WA LISHE MANISPAA YA LINDI.

Imetumwa: October 6th, 2023

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa DDC uliopo Manispaa ya Lindi Septemba 26, 2023 huku mgeni rasmi akiwa ni mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga,  kikihusisha wadau mbalimbali wa masuala ya lishe ndani ya Manispaa ya Lindi ikiwemo wamiliki wa mashine za kusagia mahindi,baadhi ya waalimu wakuu wa shule za msingi na Sekondari pamoja na wadau wa masuala ya uongezaji virutubishi kwenye unga wa mahindi (SANKU).

Akizungumza na wadau hao mkuu wa wilaya ya Lindi amesisitiza matumizi mazuri ya chakula chenye virutubisho kwa wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari.

Aidha amesisitiza wamiliki hao wa mashine zinazotumika kusagia mahindi kuwa na umoja  miongoni mwao.

Sambamba na hilo mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi ndg Juma Mnwele amewaomba wamiliki hao wa mashine kuendelea kuzalisha kwa wingi vyakula vyenye virutubisho ili afya za wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari ziendelee kuimarika.

Katika hatua nyingine mganga mkuu wa Mkoa wa Lindi Dr. Kheri kagya amewaomba wamiliki hao wa mashine za kuzalisha unga wenye virutubisho kuendelea kuwa na umoja na mshikamano katika kazi zao lakini pia kuhakikisha wana ongeza thamani ya  bidhaa  wanazo zalisha.

Kwa upande wa wadau wa SANKU wametoaushauri kwa wamiliki wa mashine zinazo tumika kusagia unga wa mahindi  juu ya matumizi  ya teknolojia ya uchanganyaji wa unga na virutubishi muhimu kwasababu ya faida nyingi zinazo patikana kwenye mashine hizo

ikiwemo uzalishaji wa unga wenye virutubisho kwa kiasi kikubwa.

lakini pia Wadau wa SANKU wamekuja na ofa kubwa kwa wamiliki wa mashine kwa kuwapa bure mashine za  kuchanganya unga na virutubishi kwa masharti madogo lengo ni kuboresha hali ya lishe kwa wananchi wa  Manispaa ya Lindi.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa