- Mwanzo
- Kuhusu sisi
-
Utawala
- Muundo wa Taasisi
-
Idara
- Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
- Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
- Idara ya Elimu ya Sekondari
- Idara ya Mipango na Uratibu
- Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
- Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
- Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
- Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
- Idara ya Maendeleo ya jamii
-
Vitengo
- Kitengo cha Huduma za Kisheria
- Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
- Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
- Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
- Kitengo cha Ununuzi
- Kitengo cha Fedha na Uhasibu
- Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
- Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
- Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
- Uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
- E-Learning
Akiongea na wajumbe wa kikao hicho mara baada ya Ufunguzi wa kikao hicho Mweyekiti wa Kikao hicho ambaye ni mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Juma Mnwele, ameomba idara mtambuka kuhakikisha zinafanya ufuatiliaji na kuhakikisha suala la lishe linapewa kipaumbele.
Hata hivyo mkurugenzi alisisitiza wakati wa uandaaji wa bajeti ya Lishe kuzingatia shughuli zinazopangwa ziakisi uhalisia wa masuala ya Lishe kama miongozo inanvyoelekeza utengaji wa bajeti kwenye *Objective Y*.
Sambamba na hilo mwenyekiti aliwataka wadau wote kutoka Idara Mtambuka na Idara mama kuweka vipaumbele zaidi katika shughuli zinazomlenga moja kwa moja mtoto chini ya umri wa miaka mitano (direct cost) ili kukabiliana na changamoto za kilishe zinazowakabili walengwa hao na kupunguza vipaumbele katika indirect cost.



