• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

FAHAMU JUU YA USUGU WA VIMELEA VYA MAGONJWA KWA MAGONJWA YA MIFUGO NA BINADAMU KWA DAWA.

Imetumwa: November 24th, 2021

1.Antibiotiki ni nini?

  • Ni dawa za kutibu magonjwa yanayosababishwa na vimelea vinavyofahamika kama bakteria.
  • Antibiotiki zinazotumika kutibu magonjwa ya wanyama ni pamoja na oxytetacycline,peniclyn,ethromythin,.
  • Dawa hizo hutumika kwa binadamu.Mfano tetracycline.

2.Nini maana ya usugu wa vimelea vya magonjwa kwa dawa.

  • Ni hali ya vimelea vya magonjwa kutokufa kwa dawa iliyothibitika na inayotumika kuua vimelea husika.

3.Mambo yanayosababisha usugu wa vimelea vya magonjwa kwa dawa.

  • Kutokukamilisha dozi iliyoelekezwa na mtaalamu wa afya ya binadamu/mifugo.
  • Kutumia dawa zisizo na ubora au feki.
  • Kutumia dawa zilizokwisha muda wake wa matumizi.
  • Kwa binadamu kula nyama,mayai au kunywa maziwa au damu yenye masalia ya dawa.
  • Kula mazao ya mnyama yaliyotolewa bila kuzingatia muda wa kwisha dawa mwilini(Withdraw Period).
  • Kutumia dawa bila kushauliwa na mtaalamu wa afya za mifugo/binadamu.
  • Utupaji holela wa mabaki ya dawa.
  • Kutumia dawa isivyofaa.Mfano dawa ya kumeza inatumika kwa sindano.
  • Kutumia dawa za binadamu kutibu wanyama.
  • Matumizi ya dawa hususani antibayotiki kwenye chakula cha mifugo kwa ajili ya kunenepesha au kuharakisha ukuaji.
  • Mgonjwa kutokumaliza dozi ya dawa kama ilivyoelekezwa wakati wa matibabu.
  • Tabia ya mgonjwa au mfugaji kununua au kutumia dawa bila kupata ushauri wa wataalamu.

4.Madhara yanayosababishwa na usugu wa vimelea vya magonjwa kwa dawa.

  • Kutokupona ugonjwa hata baada ya kutumia dawa ambazo zimekua zikitibu ugonjwa husika.
  • Kuongezeka kwa gharama za matibabu kwa binadamu na mnyama.
  • Kupata magonjwa nyemelezi kutokana na tiba ya muda mrefu.
  • Upungufu wa chakula(nyama,maziwa,mayai,samaki n.k)kusikolingana na ongezeko kubwa la watu duniani,hivyo hupelekea lishe duni na kusababisha utapiamlo.
  • Husababisha kuibuka na kuenea kwa magonjwa sugu yasiyotibika na kupelekea vifo na muda Zaidi wa kukaa hospitalini.Mfano kifia kikuu sugu,maambukizi kwenye njia ya mkojo(UTI)na UKIMWI sugu.

5.Namna ya kuzuia usugu wa vimelea vya magonjwa kwa dawa.

  • Kuzingatia ushauri unaotolewa na afya ya wanyama na binadamu.
  • Kutotumia dawa zilizokwisha muda wake,soma muda wa kwisha matumizi ya dawa kwenye chupa au pakiti ya dawa.
  • Kuteketeza mabaki ya dawa kwa kufuata ushauri wa wataalam wa afya ya binadamu na mifugo.
  • Kuzingati ushauri wa wataalam kuhusu matumizi ya nyama,maziwa na mayai kwa mifugo ilitibiwa na dawa.
  • Kutotumia vishoka kutibu wanyama
  • Tumia njia sahihi ya kumpatia mnyama dawa kama ilivyoelekezwa na mtengenezaji.
  • Hifadhi dawa kama ilivyelekezwa na mtengenezaji.
  • Pata dawa kutoka chanzo sahihi.

                                                        USITUMIE DAWA ZA ANTIBIOTIKI KAMA MBADALA WA CHANJO KATIKA UFUGAJI.

Makala hii imeandaliwa na Afisa Habari wa Manispaa Ndugu Pendo Mustapha akishirikiana na Afisa Afya Ndugu Seif Abdallah,baada ya kupata mafunzo ya siku moja juu ya usugu wa vimelea vya magonjwa ya mifugo na binadamu kwa dawa.Ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya wiki ya mapambano dhidi ya vimelea vya magonjwa  ya mifugo na binadamu kwa dawa.Maadhimisho haya huadhimishwa kuanzia tarehe 18-24/11 kila mwaka ambapo kwa mwaka huu yamefanyika Mkoani Mtwara/Lindi.Waandaaji wa mafunzo hayo ni serikali ikishirikiana na FAO na USAID.                                                                            

 

 

      

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa