• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

DC-NDEMANGA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI MKOA WA LINDI.

Imetumwa: April 19th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga akimuwakilisha mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Zainabu Telack,ameongoza zoezi la upandaji wa miti katika shule ya sekondari ya wasichana Kilangala, iliyopo katika kata ya Kilangala Manispaa ya Lindi.

Akizungumza na wakazi wa kata ya Kilangala Mhe. Ndemanga amewahimiza wakazi hao juu ya suala zima la upandaji miti ikiwemo miti ya matunda na vivuli katika maeneo yao, Kwasababu miti inaleta manufaa makubwa kiuchumi, hali ya hewa,ikolojia ya viumbe, hifadhi ya mazingira pamoja na upatikanaji wa chakula.

Sambamba na hilo Dc, Ndemanga amewaomba wakazi wa kata ya kilangala na maeneo ya jirani kuwa mlinzi wa mazingira kwa miti inayopandwa ikiwemo miti ya matunda,mbao,  vivuli, pamoja na mikorosho.

Katika hatua nyingine Dc, Ndemanga amesisitiza zoezi hilo la upandaji wa miti liwe ni la mkoa mzima na lihusishe upandaji wa miti ya Matunda kwa shule zote za msingi na sekondari kwasababu mkoa wetu una uhaba wa miti ya maunda.

Vile vile Dc, ametoa maelekezo kwa kamati za maliasili kwa kila kijiji ziweze kuhakikisha zinalinda misitu katika vijiji vyao, lakini pia Dc, Ndemanga alitumia nafasi hiyo kumpongeza na kumuunga mkono Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa anazozifanya katika shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo kuboresha huduma za kijamii ikiwemo elimu, maji, na afya.


Awali katibu tawala mkoa wa Lindi Bi Zuwena Omari akiongea na wakazi wa kata ya Kilangala aliwaomba wakazi hao kutokata miti wakati wa kusafisha mashamba yao.Kwa upande wa mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Ndg, Juma Mnwele wakati wa kutoa taarifa ya shule ya wasichana Kilangala  alitumia nafasi hiyo pia kutoa pongezi pongezi kwa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Lindi lakini pia alitoa pongezi kwa wakazi wa kata uya Kilangala kwa kutoa eneo kwaajili ya ujenzi w shule hiyo ya wasichana Lindi .

Mwisho alitumia nafasi hiyo kuwasisitiza wakazi wa kata  ya Kilangala kuhakikisha wanapanda miti na kuisimamia miti hiyo.



Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa