• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

DC MWANZIVA AZINDUA KLABU YA MAZOEZI MNAZI MMOJA.

Imetumwa: February 22nd, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Victoria Mwanziva amezindua klabu ya mazoezi kata ya Mnazi mmoja Manispaa ya Lindi ijulikanayo kama Mnazi Mmoja Jogging Klabu, tarehe 22 Februari 2025, tukio ambalo limefanyika katika shule ya Msingi Mnazi Mmoja.

Akiongea na wanamichezo hao mara baada ya kufungua klabu hiyo DC Mwanziva amewapongeza wote kwa  kujitokeza kwenye mazoezi hayo sambamba na kuunda klabu hiyo.

Aidha DC Mwanziva  amesisitiza Wanakikundi hao kuwa na umoja pamoja na ushirikiano miongoni mwao ili waweze kufikia malengo yao.

Akisoma risala yake Mbele ya mgeni rasmi mwenyekiti wa klabu hiyo Ally Omari amesema kikundi hicho kimeanzishwa mwaka 2024 ambapo mpaka kufikia Sasa kina jumla ya washiriki 28.

Akielezea mafanikio yaliyopatikana kupitia Kikundi hicho Ally amesema ni pamoja na kuwaunganisha Vijana  mbalimbali katika kata yao lakini pia kutengeneza umoja miongoni mwao.

Mafanikio mengine ambayo yamepatikana kupitia kikundi  hicho ni pamoja na kikundi kuchangia chupa kumi na Moja za damu  kwenye, siku ya wafanyakazi mwaka 2024.

Akitaja changamoto wanazokutana nazo katika Kikundi Chao Ally amesema ni pamoja na ukosefu wa Vifaa vya michezo, kama vile Jezi, lakini pia imani potofu kwa Wananchi Kwani wanaamini wanaofanya mazoezi ni watu wenye magonjwa.

Nae Diwani wa kata hiyo Mhe. Saidi Mchinjita amesisitiza wanakikundi hao kuwa na umoja lakini pia Kuendelea kukutana kila siku Kwaajili ya kufanya mazoezi pamoja na kuimarisha Afya zao.

Katika hatua nyingine katibu wa mbunge Jimbo la Lindi Mjini Issa Ngasha Akimuwakilisha Mbunge wa Jimbo hilo  Mhe. Hamida Abdallah amekipongeza Kikundi hicho Kwa kuanzisha klabu hiyo ambayo inakwenda kuunganisha idadi kubwa ya watu sambamba na kuimarisha Afya.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa