• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA NNE APRIL-JUNI 2020/2021

Imetumwa: July 30th, 2021

Kikao cha baraza la Madiwani kujadili taarifa ya robo ya nne kwa kipindi cha April-Juni 2020/2021 kimefanyika leo tarehe 30/07/2021 katika ukumbi wa Mtakatifu Andrea Kaggwa.Kikao hicho kimhudhuriwa na wajumbe wa baraza la Madiwani,Mstahiki Meya wa Manispaa, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa, Viongozi wa vyama vya kisiasa Wataalam na Wakuu wa Idara mbalimbali.

Mstahiki Meya Mhe. Frank Magali ametoa hotuba ambayo ilijikita kwenye ukusanyaji wa mapato na utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Katika hotuba yake Mstahiki Meya ameusisitiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kuongeza uwanda wa ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri.

Aidha, Mstahiki Meya amewataka wananchi wa Mkoa wa Lindi kwa ujumla kujiandaa kuupokea mradi mkubwa wa gesi asilia (LNG) ambao unatarajiwa kuanza siku chache zijazo.Mstahiki Meya ameendelea kusema kwamba muda wa kujiandaa ni sasa na si vinginevyo.Halmashauri ya Manispaa ya Lindi nayo inapaswa ijipange kuupokea mradi huo kwa kuhakikisha viwanja vingi vinapatikana, kuongeza upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii kama afya, elimu, maji, umeme n.k.

Mbunge wa jimbo la Lindi mjini Mhe. Hamida Abdallah ameipongeza serikali kwa kulipatia jimbo lake fedha kiasi cha Milioni mia tisa (900,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari ambapo shule hiyo inatarajiwa kujengwa katika kata ya Mingoyo.Pia Jimbo la Lindi limepokea Shilingi bilioni moja na nusu (1,500,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa barabara ambapo fedha hiyo itawezesha ujenzi wa barabara kilometa 14 kwa kiwango cha lami.

Mjumbe wa kikao cha baraza la Madiwani mhe. Mchinjita akitoa hoja.


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Lindi mhe. Frank Magali.


Afisa misitu wa Manispaa ya Lindi ndg. Chimbuli akijibu hoja za wajumbe wa kikao cha baraza la Madiwani.



Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa