• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

kata ya rahaleo

UTANGULIZI

Kata ya Rahaleo ni miongoni mwa kata 20 zilizopo katika Manispaa ya Lindi.

IDADI YA WATU NA MAKAZI.

Kata ya Rahaleo ina mitaa 4 ambayo ina wakazi 2111 wanaume 844 na wanawake 1262 na ina kaya 501 kutokana na sense ya mwaka 2012.

IDADI YA WATUMISHI KWA KILA KADA.

S/N KADA MAHITAJI WALIOPO PUNGUFU
1 Mtendaji wa kata 1 1 -
2 Watendaji wa mitaa 4 2 2
3 Afisa Afya 1 1 -
4 Afisa Mifugo 1 1 -
5 Afisa maendeleo ya jamii 1 1 -
6 Mratibu elimu kata 1 - -
7 Waalimu 18 14 4


TAARIFA YA MAENDELEO YA SHULE.

Kata ina shule moja ambayo ni shule ya msingi Rahaleo na ina wanafunzi wafuatao;

DARASA WAVULANA WASICHANA JUMLA
AWALI 18 20 38
I 31 48 79
II 54 61 115
III 58 54 112
IV 57 58 115
V 57 57 114
VI 41 36 77
VII 40 36 76


Wanafunzi waliofanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2019/2020 ni 70 kati ya wanafunzi hao wavulana 24 na wasichana 46, na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ni 69 kati yao wavulana 24 na wasichana 45.

HALI YA UFUNDISHAJI.

Ufundishaji unaendelea vizuri walimu wanaingia madarasani na kufundisha kufuatia ratiba zilizopo.

HALI ZA MAHUDHURIO YA WANAFUNZI.

Katika kipindi cha robo ya pili mahudhurio ya wanafunzi yanaendelea vizuri na hali ya utoro ni ndogo hakuna utoro wa kudumu.

MIMBA ZA WANAFUNZI.

Katika kipindi cha robo ya pili hakuna taarifa za mimba zilizolipotiwa.

UZIO WA SHULE.

Mikutano ya kuhamasisha michango inaendelea kufanyika kupitia wazazi/walezi na katika mikutano ya wananchi.

ELIMU YA SEKONDARI.

Kata ya Rahaleo haina shule ya sekondari hivyo wanafunzi wa kata hii wanapata elimu ya sekondari katika shule jirani kama shule ya Lindi sekondari, Mkonge sekondari, Angaza sekondari, Mitwero sekondari, ambazo zipo nje ya kata.

HALI YA USAFI WA MAZINGIRA.

Kutokana na msimu wa masika maeneo mengi yana nyasi, japo wananchi wanajitahidi kufyeka ama kulima pia kutokana na ushirikiano wa mwenye kiti na wajumbe wake kupitia wananchi wao baada ya makubaliano ya vikao vya serikali za mitaa. Wananchi hao wanaendelea kusafisha maeneo yao.

UKUSANYAJI WA TAKA NGUMU.

Kata ya Rahaleo ina kikundi cha uzoaji taka ngumu ambacho kinawezesha uzoaji taka katika mitaa yote.

UVUVI/MIFUGO NA KILIMO.

Wakazi wa kata hii hujishughulisha na kazi za uvuvi wa samaki, wengine hujishughulisha na kilimo katika kata jirani kama kata ya rasbura, Mbanja, Mtanda, Kitumbikwela.

BARAZA LA KATA.

Kata ya Rahaleo bado haina baraza la kata kutokana na kusimama kwa baraza kulikosababishwa na uhaba wa wajumbe.

MIKUTANO NA VIKAO VILIVYOFANYIKA.

AINA YA VIKAO/MIKUTANO MWEZI ULIOFANYIKA KIKAO IDADI YA VIKAO/MIKUTANO
WDC 3/01/2020 1
Vikao vya kamati ya mtaa Mwezi 2 1
Mikutano ya hadhara Mwezi 2 1


MAENDELEO YA JAMII.

Kata hii ina jumla ya vikundi 30 vya ujasiliamali ambavyo vimesajiliwa na katika robo hii ya pili vikundi havijapata mkopo kutoka Halmashauri bado wanajiendesha wenyewe.

USAJIRI WA WATOTO CHINI YA MIAKA 5.

Watoto 14 wamesajiriwa kwa robo hii ya pili ambapo wavulana 6 na wasichana 8.

MRADI WA TASAF.

Kata haina mradi wa Tasaf.

FEDHA ZA UWEZESHAJI WA OFISI YA KATA.

Katika robo hii ya pili hakuna fedha iliyoletwa katika ofisi ya kata.

MAJANGA.

Katika robo hii ya pili hakuna tukio lililoripotiwa.

CHANGAMOTO

1.Jamii kutokutaka kuchangia fedha za malipo ya uzoaji taka ngumu.

2.Kutokuwepo kwa baraza la kata.

UTATUZI

1.Jamii inayogoma/isiyochangia fedha za malipo ya taka ngumu katika kikao cha WDC imekubalika majina yao yaletwe ofisi ya kata chini ya usimamizi wa Afisa Afya wa kata ili aweze kuchukua taratibu stahiki waweze kulipa fedha wanazodaiwa.

2.Baraza la kata-ofisi imepokea barua za maombi ya watu 4 ambao wanaomba kazi ya kuendesha baraza, hivyo ofisi inaandaa taratibu za kuonana na mwanasheria kwa maelezo zaidi. Pia hamasa ya kuongeza idadi inaendelea ili kukidhi vigezo vya idadi ya wajumbe.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa