• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

Kata ya Mnazimmoja

Kata ya Mnazimmoja ipo kusini mwa ofisi kuu ya Manispaa ya Lindi, umbali wa km 25 kutoka ofisi ya kata hadi ofisi kuu ya Manispaa.

Idadi ya kaya kata ya Mnazimmoja ni Me 3432 Ke 3671, jumla 7103, Watu wazima ni 5064 na watoto ni 2039.

Kata inajumla ya mitaa saba ambayo ni Ruaha, Mihogoni, Muungano, Majengo, Stendi, Zahanati na Sekondari.

Wakazi wa kata hii wanajihusisha na shughuli za kilimo na bia.shara.

TAARIFA YA WATUMISHI KATIKA KATA;

Jedwali 01.

Kada Waliopo Upungufu
Mtendaji kata 1 -
Watendaji wa mitaa 5 2
Mratibu Elimu 1 -
M/Jamii - 1
Afya 1 -
Kilimo & Ufugaji 2 -
Jumla 10 3


MIRADI INAYOTEKELEZWA KWENYE KATA;

Jedwali 02

Na Jina la Mradi Mgharamiaji Bajeti Fedha tolewa Fedha tumika Bakaa Hali ya utekelezaji Maoni
1 Ujenzi wa ofisi ya mtaa wa Mihongoni Jamii 20,000,000 4,000,000 4,000,000 0 Jingo limefikia hatua za kwenye kukata madirisha
Halmasisaidi


UJENZI WA ZAHANATI RUAHA

Mradi wa ujenzi wa zahanati Ruaha unaendelea na sasa umefikia hatua ya umaliziaji.

BARAZA LA KATA

Kwa sasa baraza la kata limesimama kutokana na upungufu wa wajumbe taratibu za uteuzi wa wajumbe wengine unaendelea.

ELIMU

Kata ya Mnazimmoja ina shule za msingi mbili, ambazo ni S/M Muungano na S/M Ruaha na Sekondari moja ambayo ni Shule ya Sekondari Mingoyo.

Idadi ya waliomaliza elimu ya msingi 2019/2020

Jedwali no. 03

S/M Ruaha S/M Muungano
Wav Was Jumla Wav Was Jumla
10 2 12 33 36 69


Taarifa za wanafunzi sekondari- Mingoyo.

Jedwali 04.

Kidato Wav Was Jumla
I 95 99 194
II 58 60 118
III 52 70 122
IV 68 54 122
V 178 184 362


AFYA

Elimu ya afya inatolewa kwa wanajamii juu ya masuala mbalimbali yanahusu afya ikiwemo usafi wa mazingira na magonjwa mbalimbali kwa mfano ugonjwa wa Dengue. Matumizi ya yenye madini joto, lishe bora kwa watoto chini ya umri wa miaka 5 na unyonyeshaji ziwa la mama pekee kwa watoto chini ya umri wa miezi sita.

MAJI SAFI NA SALAMA;

Kata ya mnazi mmoja inapata safi na salama kutokana na mtandao wa maji ulioongezwa na LUWASA ili kuwapunguzia wananchi adha za upatikanaji wa maji, na sasa wananchi wanapata huduma hiyo vizuri bila matatizo.

TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII;

Vikundi vya kiuchumi vya vijana na wanawake

kwa kipindi hiki cha robo ya pili pamoja na kuwa na vikundi 22 vya uzalishaji mali hakuna kikundi kilichopata mkopo wowote toka taasisi yoyote, inagawaje jumla ya vikundi 4 toka kata ya mnazimmoja wamepeleka maombi ya mkopo Halmashauri.

TASAF. Uhawilishwaji wa fedha kwa kaya maskini;

Hakuna uhawilishaji wa fedha kwa kaya masikini uliofanyika kwa robo ya pili.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa