Serikali imefanya wepesi kwa watumishi kuweza kupata salary slip. Kwa sasa mtumishi anaweza kupata salary slip kwa njia ya mtandao popote alipo.
Bonyeza https://salaryslip.mof.go.tz/ ili kufungua ukurasa wa salary slip portal utakaokuwezesha kupata salary slip yako mtandaoni. Kama ni mara ya kwanza kutembelea utatakiwa ujisajili kwanza kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa Register, na utahitajika kujaza baadhi ya taarifa ili utambulike na mfumo.
Baadhi ya taarifa utazotakiwa kujaza ni kama:
Baada ya kujaza taarifa zote kiukamilifu itakupasa usubiri kwa muda wa saa 24 ili uweze kuthibitishwa na mfumo, kisha utaweza kuutumia.
Ili uweze kuingia kwenye mfumo na uweze kupata salary slip yako, utajaza kwanza username yako ambayo ni cheki namba yako na utaingiza password kisha utabonyeza kitufe kilichoandikwa sign in.
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255717469888
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa