Friday 19th, August 2022
@Fukwe za Bahari ya Hindi Karibu na Hoteli ya Sea View Resort
Halmashauri ya Manispaa ya Lindi inawaalika Wajasiriamali wadogo wote,VICOBA na Wananchi wote kwenye VICOBA FUN DAY itakayofanyika Eneo la Fukwe lililoko Karibu na Sea View Resort.
Siku ya Jumamosi tatrehe 16/10/2021 kuanzia Saa Tatu Asubuhi.
Michezo mbalimbali kama kuvuta kamba,REDE,Beach Soccer,Kukuna Nazi, BAO na NGOMA.
Karibuni sana!!
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255717469888
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa