Bei ya zao la korosho inazidi kuimarika kila kukicha.
Licha ya uwepo wa ugonjwa wa KORONA lakini zao hili limeonekana kuwa na manufaa sana kwa wakulima.
Katika msimu wa mwaka 2020,Wakulima wa zao hili wamejipatia fedha za kutosha baada ya kuuza korosho zao kuuzika kwa bei nzuri kuanzia Tsh 2000 kwa kilo hadi Tsh 2300 kwa kilo.
Mauzo ya korosho katika vyama vya msingi Lindi Manispaa ni kama ifuatavyo
|
|
|
|
---|---|---|---|
NA | JINA LA CHAMA | MIFUKO | KILO |
1 | MNAZI MMOJA AMCOS | 10932 | 876,258 |
2 | KITUMIKI AMCOS | 6725 | 539,100 |
3 | CHIKONJI AMCOS | 1626 | 130,096 |
4 | MNALI AMCOS | 2855 | 228,939 |
5 | NG'APA AMCOS | 3354 | 268,676 |
6 | MCHINGA AMCOS | 1616 | 129,620 |
7 | MVULENI AMCOS | 3456 | 277,049 |
8 | PACHANI AMCOS | 835 | 67,007 |
9 | NANGARU AMCOS | 2293 | 183,794 |
10 | RUTAMBA AMCOS | 2895 | 231,925 |
|
|
36587 | 2,932,464 |
bofya hapa kwa taarifa zaidi https://cashew.go.tz/cbt_home/minada_updates.php
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa