• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

ZIARA YA MHE.MKUU WA WILAYA YA LINDI KUKAGUA MIRADI YA MWENGE.

Imetumwa: February 21st, 2023


Mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe.Shaibu Ndemanga akiwa pamoja na kaimu mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Ndg David Muharagi pamoja na timu ya wataalamu kutoka ndani ya Manispaa ya Lindi wamefanya ziara kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ambayo itapitiwa na mbio za mwenge wa uhuru katika kijiji cha Milola pamoja na Rutamba.


Ziara hiyo ilianzia katika ofisi ya kituo cha wanyama pori (TAWA),ambacho kipo katika kijiji cha Milola Mradi wenye thamani ya shilingi Milioni 83,205,300.00.Eneo ambalo mwenge wa uhuru utafungua ofisi ya  kituo cha wanyama pori (TAWA).Baada ya kukagua mradi huo wa kituo cha wanyama pori na kuona maendeleo mazuri ya mradi huo msafara uliekea kukagua ujenzi wa daraja lililo jengwa njia panda ya barabara ya kutoka Milola kwenda Nangaru,daraja hili pia lipo katika kijiji cha milola,mradi wenye thamani ya shilingi Milioni 786,165,000.00. Ambapo pia msafara huo ulipata kukagua na kuona hatua  nzuri ya ujenzi wa daraja hilo.


Sambamba na hilo msafara ulipata kuelekea  katika uwanja wa shule ya Sekondari Milola kukagua na kujiridhisha kuwa uwanja huo utatumika katika kupokea mbio za mwenge wa uhuru kabla haujaenda kukagua miradi ya mwenge katika kijiji hicho cha Milola.


Baada ya kumaliza kukagua eneo hilo la uwanja wa shule ya sekondari milola msafara ulekea katika eneo la Rutamba ya sasa katika kijiji cha Rutamba kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya Msingi Rutamba ya sasa,Mradi wenye thamani ya shilingi Milioni 252,490,000.00 ambapo katika shule hiyo ya Rutamba ya sasa mwenge wa uhuru utaweka jiwe la msingi.


Baada ya kukagua mradi wa shule ya msingi Rutamba ya sasa mafara ulipata kuelekea katika eneo la magroove kata ya msinjahili lindi mjini na  kukagua eneo ambalo utafanyika mradi wa lishe lakini pia eneo hilo la mangrove litatumika kutolea elimu kuhusiana na madini joto kwa wananchi.Mradi wenye  thamani ya shilingi Milioni 12,885,000.00 baada ya kutoka katika eneo la Mangrove msafara ulipata kuelekea katika eneo la Banduka Lindi mjini ambapo kuna mradi wa ujenzi ya zahanati ambao mwenge wa uhuru utaweka jiwe la msingi katika zahanati hiyo.Mradi wenye thamani ya shilingi 61,218,000.00 na kupata kuona maendeleo mazuri katika mradi huo wa zahanati.


Mwisho, ziara ya mkuu wa wilaya ya Lindi kukagua miradi hiyo ya mwenge iliishia katika viwanja vya shule ya msingi Rahaleo eneo ambalo mkesha wa mwenge utafanyika.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa