• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

WATUMISHI TUONGEZE BIDII KWENYE KAZI KWA MWAKA 2023-DC NDEMANGA

Imetumwa: February 4th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Lindi, Mhe Shaibu Ndemanga ameongea na watumishi mbalimbali kwenye sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya,iliyo andaliwa na Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.Sherehe ambayo imefanyika katika viwanja vya Ngongo JKT,ikihusisha watumishi kutoka katika Halmashauri mbili ambazo ni Halmashauri ya Mtama na Halmashauri ya  Manispaa ya Lindi.

Kwenye hotuba yake fupi mhe, Ndemanga alisema kwa mwaka huu 2023 tuna kauli mbiu yetu ambayo ni "yasiyo wezekana yana kwenda kuwezekana".Lakini pia mhe Ndemanga alisisitiza watumishi waongeze bidii kwa mwaka huu 2023,vile vile aliomba watumishi waendelee kushirikiana kwa huu mwaka 2023.

Lakini pia alizungumzia suala la kusimamia miradi ikiwemo miradi ya barabara,maji pamoja na umeme vijijini.Vilevile alizungumzia suala la uwepo wa ujenzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam ndaki ya kilimo chuo ambacho kinakwenda kujengwa eneo la Ngongo,vilevile chuo cha ufundi pamoja na mradi wa LNG.Pia alizungumzia miradi mikubwa ya maji ambayo inapatikana katika Halmshauri ya Mtama,hivyo kwa kusimamia miradi hii na ikapelekea kufanikiwa basi kila wilaya itakuwa imefikia takribani 95% ya usambazaji wa maji

Sambamba na hilo mhe, Ndemanga  alitoa maelekezo kwa wakurugenzi wa Halmashauri ya Mtama na Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kwenda kukaa na wataalamu wao na  kuanzisha utaratibu wa kukutana katika Halmashauri hizi mbili kwenye Mabonanza lakini pia kwenye  mikutano ya kushauriana mara kwa mara,angalau mara moja kwa kila mwezi.Lakini pia alisisitiza uwepo wa mabonanza haya kwasababu yatasaidia kujenga afya,urafiki pamoja na kujifunza.Vilevile alizungumzia suala la kukaa nauongozi wa JKT Ngongo ilikuweza kurudisha ule utaratibu wa kukutana katika viwanja hivyo kwa kuchoma nyama,kuzungumza na kubadilishana mawazo ili eneo hilo liwe hai kwa wakati wote hata baada ya maonyesho ya nane nane.

Baada ya mgeni rasmi kutoa neno la ufunguzi wa sherehe hiyo alipata kutoa zawadi ya shampeni kwa watumishi waliohudhuria katika sherehe hiyo kama ishara ya umoja,upendo kwa watumishi wote.

Awali watumishi kutoka katika Halmashauri ya Mtama na Manispaa walipata kuungana pamoja kwenye Bonanza hilo ambalo lilifanyika katika viwanja vya ilulu,Bonanza ambalo limehusisha michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu,kikapu, rede,kukimbia na magunia pamoja na riadha. Kwa ujumla matokeo ya michezo hiyo yote yalikuwa mazuri kwa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kupata matokeo mazuri kwa takribani michezo yote.

Mwisho mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi alitoa neno mbele ya mgeni rasmi kwa kumuomba mgeni rasmi atoe zawadi kwa watumishi watatu  ambao wameondoka katika Halmashauri yetu akiwepo injinia Godfrey Msoma ambaye kwasasa  yupo mamlaka ya viwanja vya ndege,lakini pia  mtumishi mwingine ambae ni Bwana Muwonge ambaye kwa sasa yupo bodi ya Korosho,pamoja na mwanasheria Doto shija ambaye kwa sasa yupo ofisi ya mkuu wa mkoa wa Katavi.


Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa