• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

WANAWAKE WAHIMIZWA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.

Imetumwa: March 6th, 2025

Ikiwa tunaelekea kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani hapo Machi 08,2025 Wanawake kanda ya Kusini wamehimizwa kutumia Nishati safi ili kuendelea kutunza mazingira.

Wito huo umetolewa Leo Machi 06,2025 na waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa kwenye Kongamano la Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani kanda ya Kusini lililofanyika katika uwanja wa maegesho uliopo Nachingwea mkoani Lindi.

Aidha wito huo umetolewa pia Kwa taasisi zote za Elimu, majeshi pamoja na Magereza kutumia Nishati safi za kupikia.

Sambamba na hilo Majaliwa amewaomba wazazi kuwa na uhakika na Afya za watoto wao Kwa kuwapatia bima za Afya ambazo zitakuwa Zina wasaidia pindi watakapokuwa wamepata changamoto za kiafya.

Lakini pia Majaliwa amewaomba Wanawake kuendelea kuhamasishana kutumia fursa zilizopo kwenye maeneo yao ikiwa ni pamoja na uwepo wa madirisha yanayotoa mikopo kama vile mabenki, Halmashauri pamoja na taasisi mbalimbali za kifedha, lakini pia kuhakikisha Wananchi wanaepukana na mikopo ya kausha damu Kwani haikubaliki na huathiri maendeleo na mwenendo wa mwanamke au mjasiliamali yeyote.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe.Zainab Telack ametumia nafasi hiyo kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwa kuwezesha ongezeko la uzalishaji wa mazao ya kilimo Kwa Mkoa wa Lindi pamoja na kanda ya Kusini Kwa ujumla 

Pamoja na hayo RC, Telack ameishukuru serikali Kwa kutoa pembejeo bure Kwa wakulima ambazo Kwa kiasi kikubwa zimepelekea kuongeza hali ya uzalishaji wa mazao ya kilimo Kwa Mkoa wa Lindi.

Ikumbukwe kuwa kilele Cha Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ni Machi 08, 2025 na kwa Mkoa wa Lindi kitafanyika Wilayani Nachingwea ambapo Wanawake wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi wamejipanga kisawasawa kushiriki katika Maadhimisho hayo ambayo kauli mbiu yake inasema 

"Wanawake na wasichana 2025,tuimarishe haki usawa na Uwezeshaji"

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa