• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

Tamko la Mkuu wa Wilaya ya Lindi kuhusu zahanati ya Mnali

Imetumwa: August 28th, 2022

Kufuatia Habari zilizokuwa zikienea katika mitandao kuhusu changamoto ya chumba cha kujifungulia katika zahanati ya Mnali, Mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanaga amekutana na waandishi wa Habari ili kutoa ufafanuzi.

Akizungumza na waandishi, Mkuu wa wilaya alisema kuwa Wilaya ya Lindi ina zaidi ya zahanati 23 zilizojengwa miaka ya 1980 na zahanati ya Mnali ni mojawapo. Kutokana na ramani za ujenzi wa zahanati wa wakati huo chumba cha kujifungulia kipo ndani tofauti na ramani za sasa ambazo chumba cha kujifungulia kipo nje.

Aidha alisema japo chumba hiko kipo ndani lakini ni katika vyumba ambavyo vina usiri mkubwa sana.

Pia baada ya kufanya tathmini ya mahitaji ya zahanati ya Mnali pamoja na maeneo mengine ya Manispaa ya Lindi ilibainika kuwa kuna maeneo ambayo yana wakazi wengi na hakukuwa na zahanati hivyo jitihada kubwa ilifanyika kuhakikisha maeneo hayo yanapata huduma hiyo.

Na pia katika zahanati hiyo hiyo ya Mnali ilionekana kuna matatizo mengine ambayo yalihitaji ufumbuzi wa haraka, matatizo hayo ni ukosekanaji wa vyoo, ukosefu wa nyumba za watumishi, uchakavu wa jengo.

Katika kutatua changamoto katika zahanati hiyo, serikali ilishaanza kufanya mambo kadhaa ikiwemo ujenzi wa nyumba za watumishi, ujenzi wa vyoo pamoja na ukarabati wa jengo. Hata hivyo zahanati ya Mnali ipo katika mpango wa maboresho zaidi na Mhe. Mkuu wa wilaya amewataka wakazi wa Mnali kuondoa shaka kwa kuwa kero hiyo inakwenda kumalizika.

“Tutajenga na sio Mnali tu, zahanati zote zilizojengwa miaka ya 1980. Tumeshaanza na zahanati ya Namakongo. Na Mnali pia tutaiboresha kama ambavyo tumeiboresha katika maeneo yote ikiwemo kupeleka waatumishi, tunakwenda pia kujenga na jengo la kujifungulia”

“Niwahakikishie zahanati ya Mnali pamoja na zahanati nyengine ambazo zilijengwa kwa ramani ile ambayo ilikuwa na chumba cha kujifungulia ndani, tunakwenda kuzirekebisha kwa kujenga chumba cha kujifungulia nje. Kwa hiyo watu wa Mnali wavute Subira. Kama ambavyo tumewafanyia megine mazuri: kupeleka maji, kukarabati zahanati, kupeleka kitanda cha kujifungulia, tunapeleka dawa vizuri na hiyo ambayo wanatamani wawe na chumba cha kujifungulia nje kama ramani za sasa zinavyoonyesha tutalifanya” alisema Mhe. Ndemanga.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa