• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

SHULE YA MSINGI STADIUM YAKABIDHIWA VYOO VYA KISASA

Imetumwa: March 16th, 2019

Shule ya Msingi Stadium, moja katika Shule za Msingi kongwe hapa nchini imenufaika kwa kupata vyoo vya kisasa. Vyoo hivyo vimejengwa ikiwa ni msaada kutoka kwa khaki Foundation chini ya usimamizi wa taasisi ya Lift.

Mkuu wa Shule hiyo, alisema kuwa, Novemba 2018 Khaki Foundation walimtuma mjumbe wao Bw. Mohamed Jawad Khaki kuja kufanya mazungumzo na uongozi wa shule hiyo ili kutambua changamoto zinazowakabili. Bw. Khaki ambaye alikuwa mwanafunzia katika shule hiyo kwenye miaka ya sitini pamoja na Khaki Foundation waliamua kutoa msaada wa ujenzi wa vyoo vya kisasa pamoja na  vifaa vya ofisi ikiwemo printa na  kompyuta.

Ujenzi huo wa vyoo ulisimamiwa na taasisi ya Lift na kukamilika ndani ya miezi mitatu.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga ambaye ndie alikuwa mgeni rasmi katika sherehe hiyo, Mkurugenzi wa Manispaa ndg, Jomaary Satura na Meya wa Manispaa Mhe. Mohamed Lihumbo walizishukuru sana taasisi za Khaki pamoja na Lift kwa msaada wao huo mkubwa na kuwataka watu wengine kuiga mfano wao.

Walisema kuwa kuna watu wengi ambao wamepitia katika shule zilizopo Manispaa ya Lindi na kwa sasa wanauwezo mkubwa, hivyo wakatoa wito wa kuzikumbuka shule hizo na kuzipa misaada mbalimbali.

Pia, waliwasihii walimu na wanafunzi wa Shule ya Stadium kuvitumia vyema na kuvitunza vyoo hivyo. Na kwamba msaada huo uwe ni chachu ya wao kufanya vizuri katika masomo.

“uzuri wa vyoo hivi uendane na matokeo” alisema Mhe. Ndemanga.

Jumla ya mtundu ya vyoo 24 yamejengwa. Matundu 2 ya walimu na 20 ya wanafunzi na kufanya jumla ya matundu ya vyoo katika shule hiyo kuwa 36. Matundu 32 kwa ajili ya wanafunzi na 4 kwaajili ya walimu.

Shule ya Msingi Stadium ilianzishwa mwaka 1926 na waasisi wa kihindi ikiwa na lengo la kuwapatia elimu Watoto wenye asili ya Asia. ila ilipofika mwaka 1964 Serikali iliamua kuichukua shule hiyo, na kwa sasa ina jumla ya wanafunzi 849 na walimu 16.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa