• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MWENGE WA UHURU KATIKA MANISPAA YA LINDI

Imetumwa: June 27th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe.Shaibu Ndemanga aliupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya kilwa Mhe. Christopher Emily Ngubiagai siku ya tarehe 25/06/2018 Katika viwanja vya Mto mkavu kata ya mbaja na kuungoza katika  kutembelea miradi  ya mandeleo kwenye  maeneo mbalimbali  ya manispaa kwa takriban kilomita 132.

 Mwenge wa Uhuru ukiwa katika manispaa ya Lindi Umetembelea,kukagua na kufungua miradi mbali mbali  ambayo ni kufungua shule ya sekondari mitwero,kutoa mikopo kwa vijana,kugawa mafuta maalum kwa walemavu wa Ngozi ,kuzindua mradi wa barabara, kufungua duka kuu la kujihudumia la Alpha choice na kuzindua mradi wa maji chikonji.

 Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Ndg Charles Francis Kabeho katika kutembelea na kukagua miradi hiyo amefurahishwa na amempongeza Mkuu wa wilaya ya lindi Mhe,Shaibu Ndemanga pamoja na  Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi kwa juhudi walizozifanya kusimamia na kukamilisha  miradi hiyo na kuwasistiza kutoa elimu kwa wananchi ili kuwaelimisha kuhusu utendaji na ufanisi wa matumizi ya miradi hiyo haswa maji.

Pia kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru amesistiza kuwa elimu itakayotolewa iwe ya manufaa endelevu na sio tu kwa ajili ya Mwenge wa uhuru ikiwa ni elimu ya rushwa pamoja na namna ya kujikinga na malaria.

Aidha,Ndugu Charles Fransis Kabeho amesistiza wananchi katika kutekeleza kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 ambayo ni “Elimu ni  ufunguo  wa maisha wekeza sasa kwa maendeleo ya taifa”

Mwenge wa Uhuru umeondoka Manispaa ya Lindi kuelekea Zanzibar siku ya tarehe 26/06/2018 ambapo Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga aliukabidhi kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi ili kuukabidhi Zanzibar.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa