• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

LINDI YAPEWA KIPAUMBELE MALIASILI NA UTALII.

Imetumwa: May 2nd, 2022

Naibu Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Mhe.Juma Mkomi leo tarehe 02/05/2022 ametmbelea Manispaa ya Lindi ikiwa ni ziara ya kikazi kutembelea na kukagua miradi ya ujenzi katika maeneo ya kihistoria.

Naibu Katibu Mkuu akiongea na wataalamu kwenye kikao kilichofanyika ukumbi wa Mikutano ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Lindi.

Kupitia wasilisho lilitolewa kwenye kikao katika ofisi ya Mkurugenzi Madam Rachel amesema "Lindi imetengewa kiasi cha fedha shilingi milioni 370 kupitia mpango wa ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya UVIKO-19 kwa mchanganuo ufuatao ujenzi wa wa kituo cha taarifa na ukarabati wa ngome ya kihistoria eneo la Mikumbi Lindi Mjini shilingi milioni 150,ujenzi wa kituo cha taarifa,vibao elekezi na taarifa katika eneo la Mkwajuni shilingi milioni 170 na ujenzi wa taswira za mjusi mkubwa eneo la fisi na eneo la taarifa Mkwajuni shilingi milioni 50."

Utekelezaji wa miradi hii utaleta tija katika nyanja mbalimbali ikiwemo ajira kwa wanajamii.

                                                      Madam Rachel akitoa wasilisho kwa wataalamu.

Aidha,Naibu Katibu Mkuu amewaomba wataalamu kusimamia vyema miradi hiyo ili thamani ya fedha iendane na ubora wa majengo hayo kwani itawasaidia kuboresha maeneo yao ya kazi lakini pia kupendezesha na kuvutia uwekezaji.Pia amewataka wataalamu wa Manispaa kuweka mazingira wezeshi ili kuvutia wawekezaji. Naibu amemtaka Mkurugenzi kutoa taarifa pale ambapo wawekezaji wakihitaji kuwekeza kwenye maeneo yanayogusa wizara ya Maliasili na Utalii ili waweze kuwa na taarifa pia kuona ni kwa namna gani mwekezaji anataka kuwekeza kwenye eneo hilo.

                                 Naibu Katibu Mkuu akiwa na wataalamu eneo la ngome ya kihistoria Mikumbi.

Mkurugenzi wa Manispaa amemshukuru Naibu Katibu Mkuu kwa ujio wake kwani kuna maeneo mengi ambayo walitamani kurekebisha ili kuleta mvuto kwa Manispaa ya Lindi mfano usimikaji wa taswira ya mjusi eneo la fisi ila kutokana na rasilimali hafifu ikapelekea kuwa kikwazo.Aidha kupitia marekebisho hayo na ujenzi unaoenda kufanyika Manispaa ya Lindi itakuwa kivutio kwa watu wengi ambapo matarajio yetu ni kuwa watu watavutiwa kuja kuishi Lindi ambapo itapelekea kukua kwa Manispaa kitu ambacho kitakuza uchumi wa Lindi kwa mtu mmoja mmoja,wilaya na taifa kwa ujumla. Mkurugenzi ameahidi kutoa ushirikiano kwa timu ya wizara katika utekelezaji wa miradi hiyo.

                                          Mkurugenzi wa Manispaa akizungumza kwenye kikao.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi ndugu Rehema Madenge amefurahishwa na ujio huo kwani unakwenda kuipa Manispaa ya Lindi taswira nzuri ambapo siku zote anatamani kuona Lindi ikiwa kwenye ramani nzuri mfano usimikaji wa mjusi eneo la mzunguko utampa mtu kumbukumbu ya Lindi popote pale atakapomuona mjusi wa aina hiyo.

 



Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa