• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

KIKAO CHA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI (NGO's) PAMOJA NA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII MANISPAA YA LINDI.

Imetumwa: May 23rd, 2023


Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi (DDC), ukihusisha taasisi mbalimbali zisizo za ki serikali zilizopo ndani ya Manispaa ya Lindi ikiwemo LISAWE, LUWOPAC, ROWODO, LANGO,ASUTA,  PAI, pamoja na SHIMKIMI.

Lengo la kikao hicho likiwa ni kukutanisha mashirika hayo yasiyo ya kiserikali (NGO's) yaliyopo ndani ya Manispaa ya Lindi na kuwakumbusha majukumu yao ikiwa ni pamoja  na kuwapa muongozo mpya wa serikali kama vile kutoa ripoti kwa msajilibwa NGO's kama vile ripoti ya robo mwaka , nusu na mwaka mzima.

Mgeni rasmi kwenye kikao hicho alikuwa ni Mkuu wa wilaya ya Lindi akiwakilishwa na  afisa tawala wilaya ya Lindi ndg, Herieth kalua, ambae alipata nafasi ya kuwasalimia viongozi wa taasisi hizo kabla ya kwenda kuendelea na majukumu mengine ya kiserikali.

Lakini pia kilipata kuhudhuriwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi , Juma Mnwele. Kikao hicho kilisimamiwa na idara ya maendeleo ya jamii Manispaa ya Lindi ikiongozwa na afisa maendeleo ya Jamii Moses Mkoveke.

Mgeni rasmi  amesisitiza mambo mbalimbali kwa viongozi hao wa sekta binafsi ikiwepo suala la kuwasilisha taarifa mbalimbali kuhusiana na taasisi zao kwa msajili wa NGO's, lakini pia umuhimu wa kuzingatia sheria ,taratibu na kanuni za nchi, lakini pia kulinda maadili,mila na desturi za jamii yetu pamoja na  kutoa ushirikiano kwa serikali na serikali imeahidi ushirikiano huo na sekta hizo binafsi.

Sambamba na hilo Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Juma Mnwele pia alipata nafasi ya kuongea na  viongozi wa taasisi hizo kwa kuwapongeza kutokana na shughuli kubwa wanazo zifanya katika Manispaa ya Lindi ikiwemo kushiriki katika shughuli na matukio mbalimbali ndani ya Manispaa, wilaya, na mkoa kwa ujumla.

Aidha Mnwele amewaomba viongozi hao wa taasisi zisizo za kiserikali kutoa ushawishi mkubwa  kwa wananchi katika kushiriki katika miradi ya maendeleo ya jamii. 

Vilevile ameomba taasisi hizo kuwa na umoja katika kufanya shughuli zao kwani taasisi hizo ni muhimu katika kuleta maendeleo. Pia amesisitiza taasisi hizo kutoa taarifa za ukweli  juu ya maandiko mbalimbali ya miradi na kuepuka kutoa taarifa ambazo hazina ukweli ndani yake. Lakini pia aliomba taasisi hizo kushiriki katika kupiga vita suala la  mapenzi ya jinsia moja kwa kulinda mila na desturi zetu kwani ni kinyume na Utamaduni wetu.

Mwisho muwakilishi wa taasisi hizo zisizo za kiserikali alipata kutoa neno la shukrani mbele ya mgeni rasmi kwa kusema taasisi hizo zipo tayali kushirikiana na serikali katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo lakini pia watakuwa mabalozi wazuri kwa watu wengine katika kuhamashisha mambo mbalimbali ya kimaendeleo katika Manispaa ya Lindi na mkoa kwa ujumla.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa