• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI MKOA WA LINDI LATOA MSAADA KWA WAKAZI WA KATA YA RASBURA.

Imetumwa: March 4th, 2025

Ikiwa zimebaki siku tatu Kuelekea Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Machi 08,2025  kamati ya Maandilizi hayo ikiongozwa na Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Mkoa wa Lindi chini ya mwenyekiti wake Bi, Angel Kessy limetoa msaada wa mahitaji mbalimbali muhimu Kwa wakazi wa kata ya Rasbura  Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kwaajili ya mfungo wa Ramadhani.

Wakikabidhi mahitaji hayo  kwa Niaba ya Mwenyekiti wa Jukwaa hilo Bi. Angel Kessy, wajumbe wa Kamati ya Maandalizi Bi. Moss nampembe  na bi mwanaidi bakari walisema Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Mkoa wa Lindi kwa kushirikiana na asasi na wadau mbalimbali ikiwemo Lindi Women Gala wamepanga kushiriki hatua zote zitakazoleta nafuu ya kumwamkwamua mwanamke kiuchumi mkoani lindi kwani wanaamini ya kwamba kukosekana kwa uchumi imara mikononi Kwa  wanawake ni viashiria vibaya vya ukatili dhidi yao katika jamii wanayoishi.

Akikabidhi msaada huo Kwa wakazi hao Diwani wa kata hiyo Mhe.Kikwei Abdallah ametoa shukrani Kwa kamati hiyo Kwa  kutoa msaada huo ambao unakwenda kusaidia kaya nyingi katika kata yake, msaada huo ni pamoja na Mchele, unga, sabuni, sukari, pamoja na mafuta ya Kula na kupakaa.

Aidha ameomba kamati hiyo kuwa na moyo huo wa kutoa msaada Kwa maeneo mengine Kwa watu wenye uhitaji.

Nae mtendaji kata wa kata hiyo  Abdulmajid Said Murad ameipongeza kamati hiyo Kwa kutoa msaada huo ambao unakwenda kusaidia kaya nyingi ambazo zilikuwa na uhitaji wa vitu hivyo.

Katika hatua nyingine mdau wa maendeleo Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Mwatumu Juma Msangi (Mama kidia) ametoa ufadhili wa bima za Afya Jamii  zilizoboreshwa (iCHF) Kwa wakazi wa Manispaa ya Lindi Kwa kaya 20 zenye jumla ya watu 120.

Bima  zenye jumla ya Thamani ya shilingi laki sita ambazo zinakwenda kusaidia katika matibabu yao.

Wakipokea bima hizo  wanufaika hao wamempongeza mdau huyo wa maendeleo Kwa kutoa bima hizo ambazo zinakwenda kuwasaidia katika matibabu yao pindi ambapo watakapo kuwa wanaumwa au kupata changamoto ya kiafya.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa