• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

DC MWANZIVA AWEKA JIWE LA MSINGI MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MIPINGO.

Imetumwa: February 22nd, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe.Victoria Mwanziva ameweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo kata ya Mipingo ikiwa ni pamoja na bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Mipingo pamoja na Zahanati ya Namkongo kata ya Mipingo Jimbo la Mchinga Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.

Hayo yamefanyika Tarehe 22 Februari 2025 mara baada ya kufanya ziara yake katika Jimbo la Mchinga kata mipingo kwaajili ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali katika kata hiyo.

Akiongea na Wananchi Kwa nyakatai tofauti mara baada ya kuweka mawe ya msingi katika miradi hiyo DC Mwanziva amepongeza Ujenzi wa miradi hiyo pamoja na kuwaomba Wananchi kuendelea kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye kata yao ili waweze kupata maendeleo.

Aidha Mwanziva amewaomba wananchi kutunza miundombinu hiyo ambayo itatumika katika kuleta maendeleo kwenye kata yao Kwani serikali inatoa fedha nyingi kwaajili ya Ujenzi wa miundombinu hiyo.

Aidha amewaomba Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mipingo kuhakikisha wanasoma Kwa bidii ili waweze kufaulu mitihani yao, na kutimiza Ndoto zao.

Sambamba na hilo amewaomba wataalam kuendelea kusimamia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali pamoja na kuhakikisha ubora wa miradi hiyo una akisi Thamani ya pesa inayotolewa.

Nae Diwani wa kata hiyo Mhe. Seif Said Njenga ameishukuru serikali ya awamu ya sita inayo ongozwa na Mhe. Rais dkt. Samia Suluhu Hassan Kwa kuendelea kutoa fedha Kwaajil ya miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi hususani ni kwenye kata yake ambapo miradi hiyo ya Elimu na Afya inatekelezwa.

Nao wananchi wa kata hiyo wameishukuru Serikali Kwa kuwapatia miradi hiyo ya maendeleo katika kata yao ambayo Kwa namna Moja ama nyingine inakwenda kuwasaidia Wananchi wa eneo hilo, lakini pia wameahidi kutunza miundombinu hiyo ya bweni pamoja na Zahanati.

Ziara hiyo Kwa kata ya Mipingo ni muendelezo wa Ziara za Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Lindi katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kwaajili ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na na Serikali.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa